Mwanafunzi wa DIT amshauri Magufuli jambo muhimu sana

Naima Naimani

Member
Aug 23, 2014
39
147
RAIS JPM TUNGA SHERIA MPYA PIA FANYA MAREKEBISHO YA SHERIA MBOVU ZILIZOPO. NCHI HII HAIKUWA NA MWENYEWE VINGINEVYO TUTAZIDI KULIWA MZEE.

Na Lumola Steven Kahumbi.

Takribani sasa siku 3 zimepita tangu tuliposikia juu ya TCRA kutoza faini kwa baadhi ya Makampuni ya simu.

Sitayataja yote ila nitazungumzia Vodacom Tanzania as a reference pia kama Kampuni kubwa zaidi nchini. TCRA waliwatoza Vodacom Tshs. 27milioni.

Pikipiki yenye thamani ya Tshs. Milioni2 inalipia faini ya Shilingi 30,000/= kwa kosa moja. Hiyo ni sawa na asilimia 1.5 ya thamani ya pikipiki. Chukua 0.015 x 2,000,000= 30,000.

Gazeti la THE CITIZEN liliwahi kuripoti habari inayosema kwamba "Rostam offloads Vodacom equity for a cool Sh387 billion" kwa undani zaidi ilikuwa kwamba Kampuni ya Cavalry Holdings iliyokuwa inamiliki asilimia 35 ya hisa za Vodacom Tanzania kupitia Mirambo Limited inayomilikiwa na MfanyaBiashara Mtanzania Rostam Aziz iliuza asilimia 17.2 ya hisa zake kwa $242 million sawa na shilingi bilioni 387 na kubakiwa na asilimia 17.8 za hisa zake.

Sasa kwa kuwa President wangu ni mkali wa namba. Naomba tukokotoe sasa.

Consider the following rough idea;
17.2% equals to 0.172 and 100% equals to 1 respectively. Ikiwa thamani ya 17.2% ni Tshs. 387 bilioni. Maana yake ili kupata 100% ni sawa na Tshs. ngapi tutachukua

0.172 = 387bilioni
1= x

x ni thamani ya kitu kizima. Tutapata x=2.25Trilioni yaani 2,250,000,000,000/= hizi ndizo jumla ya hisa za Voda in terms of Tshs.

Sasa turudi hapo juu kwenye pikipiki. Asilimia 1.5 ya mtaji wa Voda ni 33,750,000,000/= bilioni 33 na ushee. Hiyo ndio ilipaswa kuwa faini kwa kosa moja kwa kampuni kubwa kama ya Vodacom walichokifanya TCRA ni kwamba hiyo 27milioni ni sawa kutoza 0.000012 sawa tu na 0.0012% nearest approximation ni 0.00001ni sawa na 0 tu.

[HASHTAG]#President[/HASHTAG] JPM.

Kwanza, waChallenge TCRA wakwambie kwa kila faini waliyotoza kwa kila Kampuni wamezingatia sheria ipi? Wataje kampuni, kiasi walichotoza, idadi ya makosa na kigezo walichotumia kiSheria.

Pili, Ni wakati sasa wa kutunga sheria na naomba kutoa mapendekezo kama ifuatavyo;

" Faini kwa kosa moja itakuwa ni 1.5% ya jumla ya thamani/Mtaji wa kampuni/bidhaa/mali ya mtenda kosa/mmiliki/wamiliki"

na kwa madhumuni ya kulinda kifungu hicho kiwepo kifungu kidogo chini ya hicho kiseme
"Kila kampuni lililosajiliwa na litakalosajiliwa na Jamhuri ya Muungano yatawajibika kutaja Mtaji wake kwa TRA.

Go Ngosha UNAWEZA. Nchi hii ilikuwa haina mwenyewe Mzee.

LUMOLA STEVEN KAHUMBI.
Mwanafunzi DIT.
 
Ni ushauri mzuri ila ni ngumu sana kwa serikali hii ya CCM kufuata ushauri wowote.
 
Nigga yo smart....kwa hesabu hizi Vodacom hawajafeel hata a pitch ya ulipaji wa kodi hiyo, kwanza nadhani hata haikumshtua Rostam, milioni 27 kati ya trilion 2.75??!
 
Ujumbe umefika
 
I will,
 
Hao vodacom coporate tax ambayo inatakiwa iwe asilimia 33 ya pato lao tu hawalipi

wanaogopwa kuliko maelezo
 
Jamani naomba muwe na kumbukumbu nzuri, vodacom ilifunguliwa kwa promotion kubwa sana ya marais wa nchi mbili
 
Naomba tuwekane sawa. Faini inatozwa kutokana na ukubwa wa kosa lako. Haitoswi kulingana na thamani ya kitu au mtaji wako. Ndo maana katika sheria na vifungu vya faini,kila kosa limeelezewa na adhabu yake stahiki. Mfano,sheria ya kimtandao inamtaka mtu alipe milioni 5,je unataka kutuaminisha kwamba 0.015 ya thamani ya mwanadamu ni milioni tano? Je,hujawahi kuona faini za pikipiki zinazidi au kupungua hata hiyo 30,000? Wazo zuri lisilo na mantiki.
 
Ukisema hivo, wenye magari ya 100Million nawo walipe 1.5Million kwa kila kosa? Its not realist ingawa faini inabidi iongezeke jinsi thaman ya kifaa ulichonacho inavoongezeka na idadi ya makosa inavoongozeke
 
Ni lini walishauriwa wakakubali? Labda uwashauri wizi! Hapo sawa

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa amesema ni mwanafunzi, nadhani anajua vizuri sana kuhusu utafit wa kimaandishi, nadhani ni vizuri kabla ya kuwasilisha jambo ukafanya literature review ya kutosha badala ya kujidhalilisha mwenyewe na kuidhalilisha taasis unayotoka.
 
Wakubwa walishachukua ten percent yao kitambo wakati wa uanzishwaji wa makampuni haya.sasa kiongozi huyo huyo ni vigumu kumtoza faini kulingana na sheria inavyotaka.kinachofanyika ni kumhadaa mwananchi.
 
Back
Top Bottom