Mwanafunzi wa Diploma nataka ku apply Chuo kingine

Sherry_26

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
6
Reaction score
1
Jamani nilikuwa nauliza mfano nikiwa mwanafunzi wa diploma nikataka kuapply tena chuo kingine ni mpaka nifute usajili na je kama mpaka kufuta usajili nafutaje usajili wangu chuoni
 
Unasoma kozi gani fafanunua vizuri tukuelewe.
 
Fanya kitu kinachoitwa DEREGISTRATION OF STUDIES, barua yako lazima iwe na heading iyo
 
Back
Top Bottom