IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 5,118
- 5,249
Blah blah blah who told you nothing is being done about it. dont expose your ignorance any further.Huo ndiyo ujinga wenu ulipolala, hamkuona jinsi watanzania na serikali walivyowajibika baada ya hilo unfortunate event?, kwanza haikuwa intended kumuua kwa hiyo ni kosa kusema brutally murdered labda kama kiingereza hukijui vizuri, it was accidentally murdered, huyu mwanafunzi wa Meru ndiyo brutally murdered.
Tuachozungumza hapa ni reactions baada ya tukio, wakati Tanzania nzima shughuli zilikaribia kusimama kutokana na hicho kifo cha bahati mbaya, huko kwenu hamjali na hakuna mtu anayeshughulika kwa kifo cha makusudi kabisa, wakati huko DRC wamemfunga kifungo cha maisha askari aliyempiga risasi na kumuua muandamanaji, huko kwenu hata uchunguzi hakuna.
Kenyans up in arms against police over brutal killing of Meru University student leader