Mwanafunzi udom apigwa na radi.

Mwanafunzi udom apigwa na radi.

Pdraze

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
615
Reaction score
324
Mwanafunzi mwaka wa pili chuo cha sanaa na sayansi ya jamii amefariki baada ya kupigwa na radi eneo la chuo!..R.I.P brother
 
dah.....,una maana this...this radi I know...?...poleni sana
 
Jina lake bado halijafaamika vizuri nimesikia tu tetesi lakin sio vizuri kusema bila uhakika but nimemuona tu marehemu..*sad*
 
RIP. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!
 
Ooh Mary mother of God.Save us away from trials.May his/her soul rest in peace.

Wafiwa poleni sana.
 
Poleni sana wana-udom. RIP marehemu!
 
Mwanafunzi mwaka wa pili chuo cha sanaa na sayansi ya jamii amefariki baada ya kupigwa na radi eneo la chuo!..R.I.P brother

Dodoma ni eneo kame, inakuwa aje kunakuwa na radi kali hivyo?
 
oh, so sad! Eeh Mwenyezi ilaze roho yake pema! Jaman tumwogope Mungu kwani yeye ndiye anaetwaa viumbe wake na wakati wowote... Huku Bkb radi ndo kwao no radi no mvua ni hatari
 
Nawewe sasa hata jinsia unashindwa kutuambia? Ungefanya uchunguza hata kidogo ukatupasha habari maana roho zetu juu kuna ndugu na jamaa huko. Hebu jaribu kuulizia vizuri bwana.
 
Nawewe sasa hata jinsia unashindwa kutuambia? Ungefanya uchunguza hata kidogo ukatupasha habari maana roho zetu juu kuna ndugu na jamaa huko. Hebu jaribu kuulizia vizuri bwana.

ni mwanaume.
 
Loh! R.I.P mwanaudom,cku chache zilizopita nilikuwa wilaya ya mbinga kwenye vijiji vilivyopo karibu na ziwa nyasa,kuna mwanafunzi wa sekondari nae alipigwa radi akafa,vifo vya radi kule ni kawaida sana,too bad,
 
Back
Top Bottom