Mwanafunzi SAUT Mwanza afariki dunia baada ya kushikwa kifafa na kuanguka kwenye Ziwa Viktoria

Nilitegemea kwa id yako ungekuwa ni mtu wa busara.
Kila nafsi ni lazima itaonja umauti tu.Suala linalotatiza ni namna kifo kinavyotokea.
Labda nikuulize zile taarifa za ajali za barabarani gar kupinduka au kugongana na vifo kutokea kwako unachukuliaje labda?
Kwangu mim hii habar imenihuzunisha kwa kuangalia namna tatizo la kifafa linavyoweza kusababisha kifo kwa mtu.
Pia ni funzo kwang kama kuna nina kifafa au ndug mwenye kifafa ni suala la kuchukua tahadhar pindi ninapokuwa au anapokuwa pembezoni mwa maji.
Kuwa muungwana ustadh
nimekuelewa ndugu yangu!! si unajua tens swaumu hii akili inachoka sana that's why....but tusameheane ndugu
 
Back
Top Bottom