ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 543
- 652
Huyo dame ahame chuo hicho kwani lazima kutakua na vendeta
Huyo dame ahame chuo hicho kwani lazima kutakua na vendeta
Huyo dame ahame chuo hicho kwani lazima kutakua na vendeta
Huyo dame ahame chuo hicho kwani lazima kutakua na vendeta
Huyajui mapenz yao. Dont be judgementalJapokua ni unyama uyo binti alichofanya lakini ni funzo kwa wengine.!
Unaanzaje kubeba simu ya mwenzako et kisa umekuta sms???
Ukishachukua simu itakusaidia nini haswaaaaa.....hapo ukute hakuna hata senti yako iliyotumika kwenye ununuzi wa simu
Weka hapa waungwana tuzione.Wacha uongo. Au nikutumie picha zao hao wapenzi wawili??
Susan na huyo jamaa yake
Funzo ni kuacha utapeli sio kutochukua simu.kama yeye ndie alimnunulia??Japokua ni unyama uyo binti alichofanya lakini ni funzo kwa wengine.!
Unaanzaje kubeba simu ya mwenzako et kisa umekuta sms???
Ukishachukua simu itakusaidia nini haswaaaaa.....hapo ukute hakuna hata senti yako iliyotumika kwenye ununuzi wa simu
Chuo kina watu 10000+ mtajuana wote???Sasa wanafunzi wenzie waliompiga hawamfahamu?
Mkuu almanusra unichekeshe hapa msibani!Daaa huyu jamaa kumbe ndio huwa anatudanganya kwa level ya KUTUKUKA hivi! Afadhali leo kabwambwa
Vyuo vya siku hizi hovyoo mlishindwa kumkamataHuyo dame ahame chuo hicho kwani lazima kutakua na vendeta
Xo uyodada yupo sawa Tanzania kubwa sana kuna watu wa kila ainaJapokua ni unyama uyo binti alichofanya lakini ni funzo kwa wengine.!
Unaanzaje kubeba simu ya mwenzako et kisa umekuta sms???
Ukishachukua simu itakusaidia nini haswaaaaa.....hapo ukute hakuna hata senti yako iliyotumika kwenye ununuzi wa simu
WEWE NADHANI NI MPUMBAVU WA KWANZA WA KARNE HII KUWAHI KUTOKEA. HIVI KAMA UMESOMA JOURNALISM UNAJUA NINI MAANA YA AUTHORITAVE SOURCE, CREDIBLE SOURCE NA RELIABLE SOURCE KATIKA UTOAJI WA HABARI MAHALA POPOTE? KWA TAARIFA YAKO SISI WOTE TUMEAMINI ALICHOKISEMA AFISA HABARI WENU BWANA KOMU HIVYO KAMA UMEKEREKA KWA YEYE KUSEMA UKWELI KUWA ALIYEKUFA HAKUWA MWANAFUNZI NA KWAMBA HAKUNA KIFO CHA MWANAFUNZI YOYOTE WA SAUT UNAWEZA UKAJINYONGA TU. Katika Journalism au Mass Com WEWE TUNAKUITA " Marginal Source " Ambaye KIMANTIKI HUNA CHOCHOTE Zaidi Ya UMBEA TU TENA ULIOTUKUKA.
Mkuu hii tutathibitishajehuyu marehemu aliwah kunusurika kifo huko huko rugambwa hostel mwaka 2011,alijifanya mwanafunzi na kuzoeana sana na wasichana.aliiba laptop na kukimbilia kwao pale nyamalango,nzengo ilimtetea sana.huwez kuamini kwa maramoja tu katika mia mmoja aseme huyu ni mwizi,ila polisi wana taarifa zake nying za wizi.
wakati ameitiwa mwizi na kuanza kukimbia,alikuwa na kisu na kuwatishia mabinti waliokuwa wanamkimbiza.