Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Ndugu zake cjui unawatazama kwa jicho gan kwa kumsababbshia kijana wao kifo,wanawake jamanii dah, ukute kijana wa watu hata hakuwa anapendwa,unaempenda huwez thubutu kumuitia mwizi hata cku moja
 
Somo kwa walio kwenye mahusiano ya kichuo chuo kutambua unayemwita mpenzi mkiwa pamoja kuna mwingine kabla ama baada yako kwa hiyo hapo mnasogeza tu muda
 
Nilivyoona huu uzi unefufuliwa nikafikiri kuna updates zozote labda kesi yoyote kwa wauwaji au mwendelezo wa maisha ya yule mwanamke kumbe zinaendelea R.I.P tu
 
Hilo tukio huyo aliyeuawa hakuwa mwanafunzi alikuwa modelist fulani hivi wa kitaa
 
wanasheria mtusaidie hapa,huyu binti atakuwa ameua kwa kukusudia/bahati mbaya??
 
Mshaanza kuwatetea
 
Du we mbulula kweli alokufa siyo mwanafunzi...Ni mpenzi wa mwanafunzi
 
unaacha kumnunulia mama yako simu , unamnunulie demu, demu anaitumia simu kuchati na madanga yake, unakuja unaondoka na simu yako demu anakuitia mwizi, unapigwa unakufa
 
Nilivyoona huu uzi unefufuliwa nikafikiri kuna updates zozote labda kesi yoyote kwa wauwaji au mwendelezo wa maisha ya yule mwanamke kumbe zinaendelea R.I.P tu
Wauaji wote walionekana kwenye video akuna atu yeyote iliyochukuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…