Aku mwalimu hooi(MWALIMU);Wanafunzi,nyangumi hawezi kummeza mwanadamu kwa sababu ana koo dogo sana. (MWANAFUNZI);Si kweli usemavyo,mbona tulisoma biblia YONA alimezwa na nyangumi? (MWALIMU);Mimi ndo mwalimu,nisikilize mimi!. (MWANAFUNZI);Nikienda mbinguni nitamuuliza YONA. (MWALIMU);Je kama YONA alienda kuzimu? (MWANAFUNZI);Utamuuliza wewe!