Mwanafunzi Chuo cha Taifa cha Usafirishaji afariki dunia

sam leon

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
890
Reaction score
1,191

Alikua ni mwanafunzi wa engineering mwaka wa 4,amekutwa chumbani amefariki,,
kwa wanafunzi wa NIT huyu jamaa aLikua anauza chips pale best free


RIP BRO
 
Halafu kipindi hiki naona kuwa wanaoondoka ni vijana zaidi tofaut na nyuma. Zamani mtoto alimzika mzazi ila leo hii mzazi anamzika mtoto. R.I.P
 
R.I.P engineer, tulikuwa tunakutegemea hasa kwenye hii ishu ya madini
ungetufaaa sana. Hata kama ulikuwa engineer muuza chips.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kijana alijiajiri
 
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Alipatwa na nini maskini jamani.May his soul rest in peace.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…