sam leon JF-Expert Member Jan 29, 2017 890 1,189 May 25, 2017 #1 Alikua ni mwanafunzi wa engineering mwaka wa 4,amekutwa chumbani amefariki,, kwa wanafunzi wa NIT huyu jamaa aLikua anauza chips pale best free RIP BRO
Alikua ni mwanafunzi wa engineering mwaka wa 4,amekutwa chumbani amefariki,, kwa wanafunzi wa NIT huyu jamaa aLikua anauza chips pale best free RIP BRO
MeinKempf JF-Expert Member Jun 11, 2013 11,094 7,225 May 25, 2017 #5 R.I.P engineer, tulikuwa tunakutegemea hasa kwenye hii ishu ya madini ungetufaaa sana. Hata kama ulikuwa engineer muuza chips.
R.I.P engineer, tulikuwa tunakutegemea hasa kwenye hii ishu ya madini ungetufaaa sana. Hata kama ulikuwa engineer muuza chips.
Gluk JF-Expert Member Mar 23, 2017 1,856 2,967 May 25, 2017 #7 Halafu kipindi hiki naona kuwa wanaoondoka ni vijana zaidi tofaut na nyuma. Zamani mtoto alimzika mzazi ila leo hii mzazi anamzika mtoto. R.I.P
Halafu kipindi hiki naona kuwa wanaoondoka ni vijana zaidi tofaut na nyuma. Zamani mtoto alimzika mzazi ila leo hii mzazi anamzika mtoto. R.I.P
sam leon JF-Expert Member Jan 29, 2017 890 1,189 May 25, 2017 Thread starter #8 MeinKempf said: R.I.P engineer, tulikuwa tunakutegemea hasa kwenye hii ishu ya madini ungetufaaa sana. Hata kama ulikuwa engineer muuza chips. Click to expand... mkuu kijana alijiajiri
MeinKempf said: R.I.P engineer, tulikuwa tunakutegemea hasa kwenye hii ishu ya madini ungetufaaa sana. Hata kama ulikuwa engineer muuza chips. Click to expand... mkuu kijana alijiajiri
msebia JF-Expert Member Sep 30, 2015 469 357 May 25, 2017 #9 Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 May 25, 2017 #10 Daah so sad kwa kweli..Mungu amlaze mahala pema
Honey Faith JF-Expert Member Aug 21, 2013 15,783 11,810 May 25, 2017 #16 Alipatwa na nini maskini jamani.May his soul rest in peace.