Bossless JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 1,381 Reaction score 2,949 Mar 4, 2018 #61 Jamaa jingaa Sana bora amekufaa aache kuwatia nduguze hasara ya kumsomesha.
nellwan JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 378 Reaction score 682 Mar 4, 2018 #62 Wasukuma sijui wataelimika lini
MR LINKO JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,034 Reaction score 3,578 Mar 4, 2018 #63 ni kwamba jamaa ametoka mbinguni na huyo manzi au wamezaliwa tumbo moja
msomi uchwara JF-Expert Member Joined Oct 17, 2017 Posts 4,788 Reaction score 9,127 Mar 4, 2018 #64 Haya ndo mambo ya kwenda kwa mpenz wako bila kumpa taarifa,,,,,,eti surprise
kajembejr JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 1,291 Reaction score 1,321 Mar 4, 2018 #65 Sidhani kama amejirusha mwenyewe... Hata mtoto wa la7 hawezi elewa hii mambo... Shija Nadhani atakuwa msukuma!!! Itakuwa alianza kurusha ngumi sasa sukumana ndio mpaka kwa window na kuanguka...Alale Mahala stahiki yake
Sidhani kama amejirusha mwenyewe... Hata mtoto wa la7 hawezi elewa hii mambo... Shija Nadhani atakuwa msukuma!!! Itakuwa alianza kurusha ngumi sasa sukumana ndio mpaka kwa window na kuanguka...Alale Mahala stahiki yake