komanyahenry
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 907
- 1,372
Duuuu mapenz yana uwaSiku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa mwanafunzi Shija wa Chuo cha Biashara CBE Dar es salaam amefariki kutokana na ugomvi wa mapenzi na ikadaiwa kuwa alirushwa kutoka gorofani kwenye Hostel baada ya kutokea ugomvi huo.
Mkuu wa Chuo hicho Profesa Emmanuel Mjema ambaye ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea katika hosteli binafsi maeneo ya Ilala na sio katika hosteli ya chuo kama ilivyokuwa ikizungumzwa kwenye mitandao ya kijamii.
Profesa Mjema ameeleza kuwa Marehemu anayetambulika kwa jina la Shija alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi mwenzake na siku ya tukio alikwenda kumtembelea na kumkuta akiwa na Mwanaume mwingine.
Baada ya kuwakuta ugomvi uliibuka na kupelekea Shija kujirusha mwenyewe kutoka ghorofani na kufikwa na mauti.
Usipo yadhibiti unakufa, wanaume hawana vifuaDuuuu mapenz yana uwa
Mbona mm nipo fea sana mkewangu hata akichepuka simuuliziUsipo yadhibiti unakufa, wanaume hawana vifua
Mmmmm wewe acha hizo, sahizi ufumaniwe wewe mke alie wee, baadaye ukute kona na jamaa usiye mwelewa kama hutatoa dozi, mmmmmm we baba weweMbona mm nipo fea sana mkewangu hata akichepuka simuulizi
Tena wanachuo a.k wanafunzi na huko mbele msioane , kuwapa ndugu jamaa hudhuni tu wazazi wamejinyima weee wanaishia kumzika mapema mtoto wao daa!MABWEGE HAWAISHI DUNIA HII.UNAWEZAJE KUJIUA KISA MAPENZI???!!
KIBAYA ZAIDI MWANAMKE MWENYEWE SIO MKE WAKO
Aaah ni shija walaini sana Moyoni hawa,ingawa kuna chotara wao anasumbuaSiku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa mwanafunzi Shija wa Chuo cha Biashara CBE Dar es salaam amefariki kutokana na ugomvi wa mapenzi na ikadaiwa kuwa alirushwa kutoka gorofani kwenye Hostel baada ya kutokea ugomvi huo.
Mkuu wa Chuo hicho Profesa Emmanuel Mjema ambaye ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea katika hosteli binafsi maeneo ya Ilala na sio katika hosteli ya chuo kama ilivyokuwa ikizungumzwa kwenye mitandao ya kijamii.
Profesa Mjema ameeleza kuwa Marehemu anayetambulika kwa jina la Shija alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi mwenzake na siku ya tukio alikwenda kumtembelea na kumkuta akiwa na Mwanaume mwingine.
Baada ya kuwakuta ugomvi uliibuka na kupelekea Shija kujirusha mwenyewe kutoka ghorofani na kufikwa na mauti.
Correction wavulanaUsipo yadhibiti unakufa, wanaume hawana vifua
Hata watu wazima siku za hivi karibuni watu wengi wameua wake zao na wao kujiua au kukimbiaCorrection wavulana
Kenge kabisa yaani Mimi wivu sasa hivi zero Kabisa, mpaka mwenyewe ananiogopaHata watu wazima siku za hivi karibuni watu wengi wameua wake zao na wao kujiua au kukimbia