Mwanafunzi CBE ajiua kisa mapenzi

Mwanafunzi CBE ajiua kisa mapenzi

komanyahenry

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2017
Posts
907
Reaction score
1,368
Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa mwanafunzi Shija wa Chuo cha Biashara CBE Dar es salaam amefariki kutokana na ugomvi wa mapenzi na ikadaiwa kuwa alirushwa kutoka gorofani kwenye Hostel baada ya kutokea ugomvi huo.

Mkuu wa Chuo hicho Profesa Emmanuel Mjema ambaye ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea katika hosteli binafsi maeneo ya Ilala na sio katika hosteli ya chuo kama ilivyokuwa ikizungumzwa kwenye mitandao ya kijamii.

Profesa Mjema ameeleza kuwa Marehemu anayetambulika kwa jina la Shija alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi mwenzake na siku ya tukio alikwenda kumtembelea na kumkuta akiwa na Mwanaume mwingine.

Baada ya kuwakuta ugomvi uliibuka na kupelekea Shija kujirusha mwenyewe kutoka ghorofani na kufikwa na mauti.
 
Duuuu mapenz yana uwa
 
Mbona mm nipo fea sana mkewangu hata akichepuka simuulizi
Mmmmm wewe acha hizo, sahizi ufumaniwe wewe mke alie wee, baadaye ukute kona na jamaa usiye mwelewa kama hutatoa dozi, mmmmmm we baba wewe
 
MABWEGE HAWAISHI DUNIA HII.UNAWEZAJE KUJIUA KISA MAPENZI???!!
KIBAYA ZAIDI MWANAMKE MWENYEWE SIO MKE WAKO
 
Tena wanachuo a.k wanafunzi na huko mbele msioane , kuwapa ndugu jamaa hudhuni tu wazazi wamejinyima weee wanaishia kumzika mapema mtoto wao daa!
 
Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa mwanafunzi Shija wa Chuo cha Biashara CBE Dar es salaam amefariki kutokana na ugomvi wa mapenzi na ikadaiwa kuwa alirushwa kutoka gorofani kwenye Hostel baada ya kutokea ugomvi huo.

Mkuu wa Chuo hicho Profesa Emmanuel Mjema ambaye ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea katika hosteli binafsi maeneo ya Ilala na sio katika hosteli ya chuo kama ilivyokuwa ikizungumzwa kwenye mitandao ya kijamii.

Profesa Mjema ameeleza kuwa Marehemu anayetambulika kwa jina la Shija alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi mwenzake na siku ya tukio alikwenda kumtembelea na kumkuta akiwa na Mwanaume mwingine.

Baada ya kuwakuta ugomvi uliibuka na kupelekea Shija kujirusha mwenyewe kutoka ghorofani na kufikwa na mauti.
Aaah ni shija walaini sana Moyoni hawa,ingawa kuna chotara wao anasumbua
 
Apumzike kwa amani..

Sasa wazazi wanajinyima asome yeye kaendekeza mapenzi, zaidi ya yote kaamua kujipoteza kabisaaa...

Wazazi tuna la kujifunza hapa, tuwaombee watoto wetu jamani! Kutoa ada haitoshi tuwakabidhi mikononi mwa Bwana kila leo
 
Hata watu wazima siku za hivi karibuni watu wengi wameua wake zao na wao kujiua au kukimbia
Kenge kabisa yaani Mimi wivu sasa hivi zero Kabisa, mpaka mwenyewe ananiogopa
 
Back
Top Bottom