Mwanafunzi aliyepigwa risasi apewa mil. 1/-

Duh, mwanaJF mwenzetu! Yaani kioo cha gari ulichovunjiwa kimekutia hasira sana kiasi kwamba unaona ni halali kwa askari wa TZ kumpiga mtoto wa shule risasi ya moto! Kaaz kweli kweli.
wewe unaona kioo tu kwa taarifa yako kunawalio pigwa mawe kwenye miili yao so ulitaka polisi nao watumie mawe?. Look, kids had so many soft altenatives: they could have called a press conf, they could have invited bonge(clouds), but why not demonstrating peacefully with placards explaning/ showing their message?. Tuwaendekeze kwa ujinga wao wa kutaka kutumia misuri badala ya hekima. Mimi siwaungi mkono japo nina sympathy juu ya mwenzao kugongwa na gari.
 
It seems that you have put the value of material things higher than the value of your fellow citizen.
Mkuu, the precedent is being set whereby bullets are a solution. We are heading into a direction whereby people will be taking the law into their own hands. Mark my words, if this trend continues, it will affect you, your family, your friends, friends' families etc etc.
Anyways, turudi kwenye utu. Maana unakwepa maswali yangu, na ni wewe tu unaye-justify hizo bullets. Since you are defending this so much, do you actually know where the young man is? Is he accessible? If not, why not? Who is stopping that from happening? How is his health?...if you can confidently answer these questions, then you will realise how fraud your standpoint is right now.
 
Wewe na watu wote wenye mawazo kama yako ndo waliotufikisha hapa tulipo, kuwa wanafunzi ku-mourn kifo cha mwenzao warushe mawe kwa fellow inocent citizens then you are hapy na unataka niunge mkono?!. You some body cannot be injured while the wind screen of his car is brown down into pcs: endelea kufundisha barberism and savagely kwa kunitishia kuwa nitaathirika, you think you will not simply bcos hujawahi onja adha ya similar acts?!. I say it plainly: sina simpathy kwa mwanafunzi aliyepigwa risasi bali nina simpathy kwa mamia ya raia waliokuwa turtured na barbalism ya wanafunzi and the Police force for their responce.
 

Nimeona ume-edit, sema sikukuwahi, maana hukutumia akili jibu lako la mwanzo. Sawa Mheshimiwa. Umeona ya Mwanza sio? Endeleeni kutatua matatizo kwa risasi!
 
Nimeona ume-edit, sema sikukuwahi, maana hukutumia akili jibu lako la mwanzo. Sawa Mheshimiwa. Umeona ya Mwanza sio? Endeleeni kutatua matatizo kwa risasi!
Hivi hawa wanafunzi walipoandamana adui yao alikuwa nani?, walitaka nani awaungemkono dhidi ya nani- maana raia wapitanjia walipigwa mawe na kuharibu mali zao, polisi nao walipokuja ikawa sawia. Hivi wewe ungerushiwa mawe ungewaunga mkono?. Elewa opinioni yangu kuwa hawa wanadamani wajue kuwa wanapokuwa na tatito raia wengine pia huathirika kwa hiyo wasiwaone raia wenzao kama ndo tatizo. Kwa hili siungi mkono na next time nami natembea na sime- your stinking kid throws anything on me nabaki na pua yake na habari ndo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…