Mwanafunzi achinjwa kama kuku

Yarabii tobaaaaa!!! Nawashangaa baadhi ya waTZ ambao kila siku wanasema kwamba Tanzania ni nchi ya amani!

Hii ndo amani mnayoihubiri kila kukicha? Ebu jiulize huyo mtoto alikuwa amewakosea nini walimwengu? Laaaaaaaaa!!!!
 
Ushirikina? au ndo bifu na wazazi?daah, this is too much!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…