Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Now I know who Linah is....
Ana uwezo mkubwa sana wa kuimba..Tatizo katabia kake kale katamtoa kwenye game..yoo
mhh kweli ruge hapendi hiphop taratibu anawabadilisha
nimeusikia kwenye PB ya Clouds umetoka
hakuna cha ku sample wala nini, uwezo wake Binamu ndio unapoishia hivyo, ina maana ameishiwa vya kuimba mpaka afanye samplin?
Fid Q - amani kwa MC na maproducer wazuri wa samplin..--kumbe fid aliliona hili kwa jicho la 3
Mwana Falsafa zamani sasa hivi mjanja mjanja, halafu na ww yimbo ipo hewani toka jana wewe leo ndio unajifanya kutupa story hapa, thread kama hizi zxinatujazia server tu, maana hata alichokiimba cha maana katika hii nyimbo hakuna..
me nkiwa na benzi langu jekundu dereva wa daladala akanchomekea pale makumbusho akantukana nini,sio iiishu i can leave with it.....................mwisho wa kunukuuu aha haaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa
Bi.Mkubwa unapenda Rusha roho!Wimbo wenyewe huu hapa:
http://tinyurl.com/c8pjenr