Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!


Hata mavi yenyewe (ashakum) ni inefficiency kwa sababu ni alama kwamba mwili umeshindwa kutumia chakula chote ulichopewa, kingine kimekuwa "waste product".
 

Ukishasema mutation ushaongelea inefficiency.

Halafu obviously huelewi evolution kwa sababu ungeelewa usingesema "mbuzi hajaweza kugeuka kuwa ng'ombe".

Unachofanya ni kutaka kuona uduara wa dunia kwa kuangalia kipande cha baraza lako, huwezi kuuona inabidi upande ndege na kuzunguka.

Ukitaka kuona mbuzi anageuka shurti umuangalia kwa mamilioni ya miaka, sio a huma lifetime.
 
Efficient system haina waste product. Waste is not a sign of efficiency. A 100% efficient efficient system would not even need input because it would be self propagating, and that is against the laws of physics.

Self sufficient system; efficient system; what is the diffrerence?
 
Naonba msaada kutoka kwa wanajamvi wengine? Facts ambazo zinaonyesha kuwa hajaweza kuwa ng'ombe tunazo, zile ambazo zinaweza kuonyesha kuwa ameshawahi hatuna. You normally insist on the use emperical evidence, so which evidence is emperical in this case?
 
Self sufficient system; efficient system; what is the diffrerence?

Self sufficiency is a characteristic of efficiency. Yani system inayoweza kujiendesha kwa ku recycle vitu, kwa mfano energy, bila kuhitaji cha nje, na bila ku waste cha ndani.

If you create such a system, there is a Nobel waiting for you in Stocholm.
 
self sufficiency a necessary condition for perfect efficiency labda tuseme
 

Evolution ina maswali mengi tu ambayo hayana majibu mpaka sasa, so swala la mbuzi kuwa ng'ombe indirectly linawezekana kama utaangalia factor ya common ancestor.
 
Evolution ina maswali mengi tu ambayo hayana majibu mpaka sasa, so swala la mbuzi kuwa ng'ombe indirectly linawezekana kama utaangalia factor ya common ancestor.

Inawezekana isiweze kabisa!!!!Kwenye mambo kama haya namkumbuka sana Nyani Ngabu. . . . !!
 
Last edited by a moderator:

alie fanya uo utaft ulio usoma kwa nn yeye aku2mia? Angalau hata 40pcnt
 

Ni leo tu nilikuwa na wenzangu tunajadili jinsi architecture aliyepata stroke na mkono wake na mguu kukosa nguvu lakn bado anafanya kazi zake km kawaida,na anapanda juu ya paa na ku-assess watu wake wanafanya nn huko juu ya paa. Inashangaza lakn unaweza kuona jinsi anavyojitambua na kutumia uwezo wake kufanya makubwa wkati kuna aliyeumia kdg lakn anaona hawezi kazi yyte na anahitaji msaada wa kila kitu.
My take: Binadamu ana uwezo mkubwa sana akijitambua.
 
Efficient system haina waste product. Waste is not a sign of efficiency. A 100% efficient efficient system would not even need input because it would be self propagating, and that is against the laws of physics.

Viumbe hai vingekuwa perfectly efficient systems kusingekuwa na "natural" death.

Kwa misingi hiyo, ni bora kuwa viumbe hai si 100% efficient systems kwa sababu inapelekea kufa na kupungua, na vizazi vyengine kujaza dunia (or should I say ulimwengu?!).

Juu ya hayo, binaadamu (pamoja na influence ya mazingira) anaweza ku-improve efficiency ya system yake na ndio maana kuna jamii nyengine kwa wastani watu wake wanaishi miaka 86 wakati jamii nyengine ni miaka 53

Suala nilionalo ni jee anaeweza kuimprove efficiency ya system yake inamaana anatumia asilimia kubwa zaidi ya uwezo wake wa ki-akili?
 

Hahahaha,

Unatupeleka kwa Dr. Watson sasa.

Jibu la kifupi ni "NDIYO".

Kama jamii moja imeweza kuongeza life expectancy kufikia miaka 86, na jamii nyingine imeshindwa imebaki kuwa na life expectancy ya miaka 53, ceteris paribus, hii iliyoweza kuongeza inatumia asilimia kubwa zaidi ya uwezo wake wa kiakili na ushahidi ni hii life expectancy.
 

hahaha nanyi hamtaki hilo @ Unatupeleka kwa Dr.Watson sasa

Ni kweli ukiangalia kukiwa na ceteris paribus inaashiria hivyo lakini theory za evolution zinatueleza kuwa mazingira yana mchango mkubwa sana katika "make up" ya viumbe hai na si lazima iwe kwa kipindi cha miaka mingi sana [Peppered Moth Evolution]

Jee mzingira yanaathiri kiasi gani matumizi ya akili na matumizi ya akili yanaathiri kiasi gani mazingira?

Pia nadhani sio kila mtu katika jamii zilizoweza kuongeza life expectancy yake anatumia akili kwa asilimia kubwa, ila mchango wa watu wanaotumia akili kwa kiwango cha juu unasaidia jamii nzima.

Kunahitajika kiasi gani cha watu hao katika jamii ili kuleta tija kwa jamii nzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…