Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,415
Watu wataenda mbinguni ama Jehanum siku ya kiama na sio sasa... Kilichopo sasa hivi mtu akifa ni roho yake kutohangajka popote kama alitenda mema... Hii ndio dhana ya mbinguni na kwa wale waliotenda mabaya roho zao hutangatanga huku na kule na kukutana na mambo mabaya mengi... Hii ndio dhana ya Jehanum kwa sasa... Wafu wote wanasubiri parapanda kuu... Siku ya kiama ama hukumu kuuKumekua na imani na theories mbali mbali kuelezea maisha ya mwanadamu baada ya kifo. Kila mtu anaamini ktk chake kutokana na alivyoaminishwa.
Huko kwetu uchagani, ipo imani kuwa mtu akifa, hurudi kwa wajomba, hivyo wanafanya mila ya kwenda kumchukua kwa wajomba na kumrudisha kwa baba yake na anakua ancestor ambaye wanakua wakimwomba awasaidie kutatua matatizo pale wanapokumbwa na magumu.
Imani nyingi za kidini zinaeleza kuwa mtu akifa, kama alitenda mema, basi huenda mbinguni kwa Mungu kuishi kwa furaha na kama ulikua mwovu enzi za uhai wako, basi unadimbukizwa jehanamu kwenye everlasting fire..
Wapo wanaoamini kuwa mtu akifa ndo mwisho wake na hakuna maisha mengine baada ya hapo.
Binafsi mimi imani yangu ni ile ya kidini (Ukristo) kwamba mtu ataenda mbinguni baada ya kifo endapo alitenda mema,, na ataenda motoni endapo alitenda maovu..
Vipi wewe kwa upande wako unaamini vipi kuhusu hili?
Anhaa sawa.. Kumbe siku ya kiama ndo judgment day ambapo kondoo na mbuzi wanatengwa..Watu wataenda mbinguni ama Jehanum siku ya kiama na sio sasa... Kilichopo sasa hivi mtu akifa ni roho yake kutohangajka popote kama alitenda mema... Hii ndio dhana ya mbinguni na kwa wale waliotenda mabaya roho zao hutangatanga huku na kule na kukutana na mambo mabaya mengi... Hii ndio dhana ya Jehanum kwa sasa... Wafu wote wanasubiri parapanda kuu... Siku ya kiama ama hukumu kuu
Vilevile umemsahau na wanaoamini katika maisha baada ya kifo -reincarnation
Haha.. Mbona upo pande mbili kk.. Hakuna ajuae alafu tena tunajua... HahaHakuna ajuaye maisha baada ya kifo, ila tunajua kuna jehanamu na peponi.
Roho nayo inaoza?
Roho inarudi kwa mwenye nayo kuishi au kufanya nn?Mtu akifa ,roho hurudi kwa mwenye nayo (uwe mdhambi uwe mwema inarudi tu).
Mwili siunajua ni mavumbi ??? Basi namavumbi yanajitwalia mavumbi yake.
Ivyo tuu....ila ukianza kujiuliza maswali mengiiiiii huwezi kupata jibu Unless afufuke MTU atuambie !!.
Mkuuu hapo sijui sana wana theology wangetusaidia ,ila ninaamin Roho inarudi nakuendelea kuishi ,, ikingoja siku ya hukumu ,ikuvae tena alafu ndo mengine yafuate !!.Roho inarudi kwa mwenye nayo kuishi au kufanya nn?
Imani yako uiitayo ya UKRISTO katika paragraph ya pili toka mwisho kuwa mtu mwema/alotenda mema huenda mbinguni mara tu afapo .... na alotenda maovu huenda motoni mara tu afapo SI KWELI .... Ni MAANDIKO YAPI yanathibitisha hilo? Cause I'm a Christian too ....Kumekua na imani na theories mbali mbali kuelezea maisha ya mwanadamu baada ya kifo. Kila mtu anaamini ktk chake kutokana na alivyoaminishwa.
Huko kwetu uchagani, ipo imani kuwa mtu akifa, hurudi kwa wajomba, hivyo wanafanya mila ya kwenda kumchukua kwa wajomba na kumrudisha kwa baba yake na anakua ancestor ambaye wanakua wakimwomba awasaidie kutatua matatizo pale wanapokumbwa na magumu.
Imani nyingi za kidini zinaeleza kuwa mtu akifa, kama alitenda mema, basi huenda mbinguni kwa Mungu kuishi kwa furaha na kama ulikua mwovu enzi za uhai wako, basi unadimbukizwa jehanamu kwenye everlasting fire..
Wapo wanaoamini kuwa mtu akifa ndo mwisho wake na hakuna maisha mengine baada ya hapo.
Binafsi mimi imani yangu ni ile ya kidini (Ukristo) kwamba mtu ataenda mbinguni baada ya kifo endapo alitenda mema,, na ataenda motoni endapo alitenda maovu..
Vipi wewe kwa upande wako unaamini vipi kuhusu hili?
Nijuze zaidi kuhusu REINCANATION tafadhali ...Watu wataenda mbinguni ama Jehanum siku ya kiama na sio sasa... Kilichopo sasa hivi mtu akifa ni roho yake kutohangajka popote kama alitenda mema... Hii ndio dhana ya mbinguni na kwa wale waliotenda mabaya roho zao hutangatanga huku na kule na kukutana na mambo mabaya mengi... Hii ndio dhana ya Jehanum kwa sasa... Wafu wote wanasubiri parapanda kuu... Siku ya kiama ama hukumu kuu
Vilevile umemsahau na wanaoamini katika maisha baada ya kifo -reincarnation
Mshana,wagaya nedho avae.Ikirao,nikuvwije,we ukifyua une yoa nahi ombe naao maburi ako?Mshana wee, shigha avae ra ao maburi ako utonge he ivundee we mwanae,aa.Watu wataenda mbinguni ama Jehanum siku ya kiama na sio sasa... Kilichopo sasa hivi mtu akifa ni roho yake kutohangajka popote kama alitenda mema... Hii ndio dhana ya mbinguni na kwa wale waliotenda mabaya roho zao hutangatanga huku na kule na kukutana na mambo mabaya mengi... Hii ndio dhana ya Jehanum kwa sasa... Wafu wote wanasubiri parapanda kuu... Siku ya kiama ama hukumu kuu
Vilevile umemsahau na wanaoamini katika maisha baada ya kifo -reincarnation
Tunachojua Pope na jehanamu zipo ila hatujui mazingira halisi ya huko, ndo kinacho nifanya niwe pande zote mbili.Haha.. Mbona upo pande mbili kk.. Hakuna ajuae alafu tena tunajua... Haha
Dini nyingi zinazoabudu miungu zinaamini ukifa utazaliwa tena kwenye umbo tofauti kulingana na matendo yako ya nyuma... Unaweza kuzaliwa kama mbwa koko kama uliwatesa mbwa your past lifeNijuze zaidi kuhusu REINCANATION tafadhali ...