Mwanadamu mnyama katili sana!!

kisugujira

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
774
Reaction score
200
WanaJF ,

Mwanadamu ni kiumbe cha ajabu sana..!! Hivi karibuni mkoani Singida kuna watu katili wamekuwa wakiwakata Punda miguu na kuchukua kwato ambazo haijulikani wanazipeleka wapi! Matumizi ya kwato hizo huko zinakopelekwa mpaka sasa haijulikani!



Source:Facebook
 
Sasa jamani huyu myama ataishije si bora angemmaliza tu maana atateseka tu maskini!!:disapointed:
 
Mmh!

Hata kama utajiri basi huu umezidi sana
yaani unamjata mnyama kwato zake ili
ukapate nini sasa. Kweli usione watu
matajiri ujue wana siri nzito mno.
 
imeniuma sana tena sana punda akubebee mzigo tena mzito akulimie kisha malipo ni kumkata miguu tutaona mwisho wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…