Mwanadada Zay B yupo wapi?

Zey B sasa yupo gado
Mashairi yamejaa kisado

Hehehe siku zinaenda kasi sana
 
Dah aisee yule mtoto alikuwa hot balaa!!! Mkuundugu yangu nipe mawasiliano yake tafadhali
Nb;hata wewe inaonekana muhenga dizaini flani iv
yaani Huo Wimbo Wa Ngwair Maisha Yangu Yote Ndo Ring Tone Yangu Naupenda Sana,mawasiliano Nitayatoa Wapi?Kweli Kauhenga Ninacho
 
Zay B Wapi Kitu Yule Dada "acha Longolongo We Sema Una Sh Ngapi?"hapo Mixer Ngwear Sijui Na Mo X Alikuwepo
Jina Nimelisahau Aisee Nakumbuka Nlisomaga Alikuwa Marekani Katelekezwa Ana Mtoto
Aisee Yule Mwanamama Namkubali Jamani
Saivi ni mke wangu. Alitelekezwa US pale Ocklahoma, ilibidi mimi na familia yao tuchange nauli aje Dar tuyajenge. Karibu Goba
 
yaani Huo Wimbo Wa Ngwair Maisha Yangu Yote Ndo Ring Tone Yangu Naupenda Sana,mawasiliano Nitayatoa Wapi?Kweli Kauhenga Ninacho
Wahenga ni kisima cha maarifa,hebu ngoja nije pm ili nipate maarifa.
 
Yupo Buguruni anauza mbao
 
yaani Huo Wimbo Wa Ngwair Maisha Yangu Yote Ndo Ring Tone Yangu Naupenda Sana,mawasiliano Nitayatoa Wapi?Kweli Kauhenga Ninacho
Vijana wa juzi bhana..mkuu achana na nyimbo za kibitozi hizo, tafuta kitu inaitwa 'Naja' ndio utajua hip hop ilikuwaje enzi zetu.
 
Yupo Temeke, mzima wa afya ,si kweli Teja yupo fresh ukitaka kumuona ni PM nikupeleke alipo.
Kuna mdau kasema yupo Buguruni anauza mbao...si kweli mbao ni maduka ya familia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…