Nenda buguruni sheli mitaa ya kimboka walikuwa na kiofisi cha familia yao naye alikuwa anaonekana sana pale ila inasemekana tejaWakuu habari.
Miaka ya 2000 kulikua na mwanadada machachali sana katika Bongo Fleva anaitwa Zay to tha B mwanadada GaiDI.
Mwanadada alikua anajitahidi sana kwa nyakati zake kwenye game na walikua mahasimu sana ma mwenzake Sista P.
Alitoa nyimbo maarufu Nipo Gado akishirikisha Kibra, na alikua na Album Mama Africa ambayo kwa nyakati zake pia ilihit sana.
Kipindi yeye yupo hot kwa upande wa kina dada ni Sista P tu ndio alikua wanasumbuana. So tunaweza sema ni moja ya waasisi wa ili game Tanzania.
Siku zimepita kimya, sijamsikia kwenye vyombo vya habari, social media wala story za vijiwe.
Last time alitoa wimbo wa Penzi la Teja ila naona haukupokelewa kiviile.so akala bati.
Hivi yupo wapi? Anajishughulisha na nini? View attachment 760497View attachment 760499
Mwenyewe hapa kila comment"GADO" watu mmepindaMajibu ya yupo gado sikutegemea... ila nimecheka
Ni adui au Mshindani wake ktk sanaa??week kama mbili zilizopita nilimsikia sister P akihojiwa est africa nae anarudi akwenye game sijui huyu adui yake zey B nae atakuja tena kwenye games kama mwenzie
Nenda buguruni sheli mitaa ya kimboka walikuwa na kiofisi cha familia yao naye alikuwa anaonekana sana pale ila inasemekana teja
Hilo ndio Tatizo angesema Mashairi Yamejaa PIPA au SIMTANK mpaka sasa angekuwepo kwenye fani maana yangekuwa yamebaki hata nusu lakini kwenye KISADO akitoa nyimbo tatu yanaisha.Mashairi yamejaa kisado sasa mtu alisema mashaili yamejaa kisado angeweza kutomboa mpaka leo kweli