Mwanachuo anywa sumu

hivi siku izi mzumbe yalemambo ya kununua cheti hayapo? jamaa alishindwa hata kutoa kidogo

#sometimes being educated may mean nothing#
 
Kuna watu huwa hawaoni thamani ya maisha, hivi kufeli masomo ya Masters ndio kufeli maisha?
 
Amelogwa hyo...unajua makazini kuna magwagula weng sna,..unatkiwa uwe na upako wakuzuia uchawi..
 
Amelogwa hyo...unajua makazini kuna magwagula weng sna,..unatkiwa uwe na upako wakuzuia uchawi..

sipendi kuyakubali maneno yako lakini sitaki kuyakataa pia!dunia ina mambo mengi sana sijui ninini kilichomsibu nafsini ukiondoa hiyo failure
 
huyo naye tutampamba kwa salamu ya "kalale pema peponi"?
 
Kumbe ni wa Njombe? Haishangazi mana wale watu kujitoa uhai si ishu kubwa..
 
Huyo anateswa na kiapo cha mkwawa si unajua tena watu wa iringa wakizidiwa kitanzi shingon. Eti anaitwa msomi ? Hakuna msomi mjinga hivyo anayefikiri kuwa mtaalamu wa mambo lazima uwe na masters au phd. Kule kwetu ukijiua tunakuzika kama mnyama tu. Don't rest in peace forever maana kodi zetu zinatuuma ambazo zilizotumika kukusomeshea ili uje mtaalamu wetu. Eti wewe unajiua?. Sasa shahada ya kwanza uliyo ipata imetusaidia nini watanzania?
 
Rip msomi usongo ukizidi sana ni shida
 
JINGA HILO. KUNA WATU INABIDI WAFE WANATUZINGUA TU HAPA Tz halafu hawafi.Why asingeondoka hata na mmoja? Hata yule mjumbe wa bunge la katiba anayezingua hakumuona?? ARGGGH!!

huyu alitakiwa afe hata na lifisadi limoja ili yapungue tuu sa kaenda peke ake mjinga sana huyu....
 
nadhani kuna sababu nyingine zaidi ya hii
 
Kajitakia huyo,kweli kuwa msomi sio kuwa na akili
 
Huyo kachoka kuishi mbona Kuna watu wengi walifeli mitihani na sasa wana maisha mazuri kuliko waliofaulu?
 
Masters = Life ? Yaani jamaa kaipa hadhi kubwa sana Masters :nono:
 
siyo finance ni economics,,mm namjua huyu mtu kama brother angu,,mm ndiye niliyempeleka fomu za kuomba masterz,,alikuwa ni mkuu wa idara ya mipango katika halmashauri ya kondoa,,na kazikwa kwao jana njombe

aisee..ungejua ya mbeleni hata usingethubutu kumpelekea...
 

Michael Jordan — 'I have failed many times, and that's why I am a success.'
 
Safi sana kaamua maamuzi ya kijinga kafa kijinga elimu yake haikumkomboa acha afe.
 
Kwa hiyo wewe inabidi ulaumiwe na familia kwa kusababisha kifo cha ndugu yao. Uenda usingempelekea hizo fomu hasingeomba kujiunga na masomo ya masters na hivyo asingejiunga na chuo na tena asinge disco. Unajisikia amani kweli moyoni?

Tiba

Aise wakuu linapokuja swala la kifo sio kumlaumu mtu in that way, navyokuona mkuu soon utasema tunamlaumu mzazi wake kwa kumleta duniani coz kama sio yeye kumzaa jamaa asingekufa, ryt??....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…