Mwanachama wa CDM atoa kiwanja chake kwa kujengwa ofisi ya CDM Nyamagana

Kwa uchungu angekuwa kwenye mkutano? Wenye uchungu huwa wako leba wanazaa acha uongo wewe au ndio ile naniii?
duh nawezekana una akili za kuku binadamu wa kawaida awezikusema maneno haya lini mwaaume akaingia labour
 
Kaishaingizwa kingi huyo

Mkuu huwa staili ya chadema ya kuchukuwa mali za wananchi kwa mfano wa sadaka inaacha maswali mengi sana,wanatumia mtindo wa 'manabii na mitume' makanjanja wa siku hizi halafu kutwa kucha wanamasisha wananchi wasichangie maendeleo yao ikiwamo elimu na afya.
 
Kwa uchungu angekuwa kwenye mkutano? Wenye uchungu huwa wako leba wanazaa acha uongo wewe au ndio ile naniii?

Sijaandika ilikushindana na mtu humu ndani by the way sina muda wakushindana na watu hasa kwa mambo kama haya ambayo mwisho wa siku mshindi hapewi cheti kwa ushauri tu, tafuta maana sahihi ya neno uchungu ndipo uje tena with logical arguments vinginevyo you are wasting your good time my brother/sister
 
MWENYEZI MUNGU AMUONGEZEE KILA KILICHOPUNGUA HUYO MZEE , hata Nyerere aliungaunga nauli hadi alifika UN na hatimaye uhuru ulipatikana .
 
Mkuu huwa staili ya chadema ya kuchukuwa mali za wananchi kwa mfano wa sadaka inaacha maswali mengi sana,wanatumia mtindo wa 'manabii na mitume' makanjanja wa siku hizi halafu kutwa kucha wanamasisha wananchi wasichangie maendeleo yao ikiwamo elimu na afya.
HIVI UKIANDIKA UTUMBO KAMA HUU ndiyo unalipwa sh ngapi ?
 
Back
Top Bottom