Vituko vinaendelea, hivi sasa tumefika kituo cha Kigoma Mjini kwa ACT- Wazalendo tukielekea kutiki CCM

------------
Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo kutoka Kata ya Majengo, Kigoma Mjini, ameahidi kupiga kura zote tatu kwa maana ya kura ya Diwani, Mbunge na Rais kwa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Ametoa kauli hiyo wakati UVCCM Mkoa wa Kigoma walipokuwa kwenye zoezi la kampeni za nyumba kwa nyumba kuomba kura kwa niaba ya chama hicho