jamani naombeni msaada,huyo jamaa wa ccm niliyemwona kwenye mkutano wa chadema,ameamua kuvua gamba na kuvaa kombati?chanzo itv.
Hizo ni dalili za wazi kuwa himaya ya utawala wa CCM inazidi 'kuteketea' kwa kasi ya kutisha, hadi viongozi ndani ya chama tawala, wanajitokeza wazi wazi kwenye mikutano ya CDM, huku wamevalia sare za chama chao cha Magamba,bila kuvua gamba, na kuamua kuondoa unafiki na kukiponda wazi wazi chama chao, kwenye mikutano hiyo!jamani naombeni msaada,huyo jamaa wa ccm niliyemwona kwenye mkutano wa chadema,ameamua kuvua gamba na kuvaa kombati?chanzo itv.
Ni siasa hizo kwani wameandika kuw ni katibu mwenezi wa BAVICHA.
Vituko haviishi Tanzania, subiri 2015. Watasema alikuwa Saulo sasa ni Paulo.ina maana chadema kila mtu anapokelewa?
_hivi leo akisema aje chenge mtashangilia?
Akivua gamba ametakasika?!Hiyo ndio safari ya CCM kuelekea kuwa chama kikuu cha upinzani, hata Lowassa atalivua gamba.
Ova
Akivua gamba ametakasika?!
naona sijapata jibu kamili wadau?tusaidieni kwa hili?