Mwana mpotevu nimerudi

Disposal

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2013
Posts
285
Reaction score
78
Jamani jodi humu.

Me mgeni nmeungana nanyi mana nmechoka kusoma tu nmefurahishwa na habari za humu.

Naomba kutanguliza shukrani pia ningependa nipate malezi mpaka nikomae kutoka hoja na kuleta mada za kueleweka.
 
jamani..mgeni wkt joining date ni mwaka 2013..we sio mgeni humu bwana, tuseme ulikuwa mwangaliaji tu
 
Hahahaha nilijiunga nikapotea sasa nmerudi na sijui wapi pa kuanzia ningependa kama ningepata mtu kama director wa kuniongoza
 
Mbona unaonekana kama mwenyeji kamanda............ila karibu sana.
 
Naomba niwe director wako tafadhali najua sitakosa chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…