Mwana mama aliyetayari.

Mwana mama aliyetayari.

Ndio akili za wanaume.

Wao wanazaa Tena hovyohovyo ila wakuwaoa wanataka wasio na watoto.
Sio nazaa hovyo hovyo,soma thread uelewe,nimezaa ktk ndoa ila nimelazimika kuachana na mwenzangu kutokana na sababu nilizoelezea hapo juu,
 
Nashukuru kwa ushauri maridhawa.
Unahisi wa 35-45 ndowametulia au wana exprience ya maisha hapo unanidaganya wanawake hawahongezeki akili inagaandaga kwa 25-28 utapata matukio yale yale.....tulia kwanza
 
Back
Top Bottom