mnangagwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 1,007
- 1,511
Hbr zenu,mm ni mwanaume miaka 40,nimeingia katika mgogoro na wife kiasi cha kuamua kutoa talaka baada ya kugundua ametoa ujauzito wa miezi2 ambao mm sio mhusika,nikimhoji anakuwa mkali huku akinitukana matusi ya nguoni.nimezaa nae watoto wanne wa mwisho ana miaka2.nahitaji mwanamama umri35 hadi 45 ambaye yuko tayari tusogeze siku,awe na shughuri yyt ya halali inayomwingizia kipato.mimi ni mwajiriwa serikali na naishi kwenye kijumba nilichojaaliwa kukijenga.awe mwislam.aliye tayari anipm.karibu tuyajenge.