Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 757
Ila nadhani kwa hili atajifunza kitu.Mwanamke anatakiwa aiyone cm ya mumewe kama kituo cha polic
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Nimejisahau bwana. Afu kibaya zaidi hao wanawake sinao hata mmoja wala sijawahi kufanikiwa kuwapata.Mkuu umesema ni madudu ya long time sana sasa kwanini hukuyafuta ilhali unajua fika tabia ya mkeo.
Mkuu chepuka kwa tahadhari acha kuzubaa.
Yeah atajifunza kupunguza uaminifu kwako pia ndio unaweza kuwa mwanzo na yeye kufanya madudu nje ya ndoaIla nadhani kwa hili atajifunza kitu.
Piga kimya hivyo hivyo, akikuuliza mwambie hutaki mambo ya kijinga, akipeleka kwa wazazi, waambie hutaki vya kijinga afanye uamuzi anaoona unafaaNaandika huu uzi nikiwa sina maelewano na mama watoto wangu.
Hii ni baada ya jana usiku nikiwa nimelala , alichukua simu yangu na kuanza kupekua kila sehemu.
Kawaida mke wangu hua anapenda saaana kukagua simu yangu sehemu tofauti tofauti. Ikiwemo SMS, MISSED CALLS, WHATSAPP n.k.
Hua namuonyaga kuwa si busara sana kufanya hivyo (uchunguzi wa kila siku) kwani mimi simu yake sina muda nayo.
SASA BASI.
Jana usiku Alifanikiwa kuingia katika moja ya mitandao ya kijamii ninayotumia na kukuta madudu yangu ya muda mreeeefu.
Alifanikiwa kukuta mawasiliano ya moja kwa moja na wanawake tofauti tofauti. Miongoni mwayo ni mitongozo na picha mbali mbali za nyuchi ambazo zilitumiwa na moja ya wanadamu hao.
Mbali na picha za nyuchi pia alikuta baadhi ya mawasiliano ya mahaba yaliyo ambatana na lugha sanifu na za kuvutia.
Baada ya kujiridhisha kwa ambacho alikuwa anakitafutia, basi aliniamsha na kunionesha Madudu yale laivu.
Sikuwa na njia ya kujitetea kwa muda huo, wala sikuhamaki kwa jambo lile kwani lilikuwa ndio tayari limeshanikuta.
LEO ASUBUHI
.
Nimeondoka nyumbani tukiwa hatuongei chochote zaidi ya kumuachia pesa ya matumizi kisha nikatembea.
Ameahidi kupiga simu kwa wazazi na kuwaeleza sakata zima jinsi lilivyo. Kwani kilio kimechukua sehemu kubwa ya maisha yake ya leo.
Lakini hapo ndipo nikaamini wasemavyo wakubwa kuwa
"MWANA KULITAFUTA - MWANA KULIPATA"
Lakini pamoja na yote hayo naomba msaada tafadhali.
Nini kifanyike upande wangu ili kuendelea na amani yangu ya moyo?
Maswali yatajibiwa
Asanteni.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] au sioYeah atajifunza kupunguza uaminifu kwako pia ndio unaweza kuwa mwanzo na yeye kufanya madudu nje ya ndoa
....................Jifariji atajifunza kesho umkute na yeye ana conversation aliyopatana kwenda kupigwa para!Ila nadhani kwa hili atajifunza kitu.
Sawa tu... Si nimeyataka mwenyewe mkuu.....................Jifariji atajifunza kesho umkute na yeye ana conversation aliyopatana kwenda kupigwa para!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chai ya maziwa. Asante.Naandika huu uzi nikiwa sina maelewano na mama watoto wangu.
Hii ni baada ya jana usiku nikiwa nimelala , alichukua simu yangu na kuanza kupekua kila sehemu.
Kawaida mke wangu hua anapenda saaana kukagua simu yangu sehemu tofauti tofauti. Ikiwemo SMS, MISSED CALLS, WHATSAPP n.k.
Hua namuonyaga kuwa si busara sana kufanya hivyo (uchunguzi wa kila siku) kwani mimi simu yake sina muda nayo.
SASA BASI.
Jana usiku Alifanikiwa kuingia katika moja ya mitandao ya kijamii ninayotumia na kukuta madudu yangu ya muda mreeeefu.
Alifanikiwa kukuta mawasiliano ya moja kwa moja na wanawake tofauti tofauti. Miongoni mwayo ni mitongozo na picha mbali mbali za nyuchi ambazo zilitumiwa na moja ya wanadamu hao.
Mbali na picha za nyuchi pia alikuta baadhi ya mawasiliano ya mahaba yaliyo ambatana na lugha sanifu na za kuvutia.
Baada ya kujiridhisha kwa ambacho alikuwa anakitafutia, basi aliniamsha na kunionesha Madudu yale laivu.
Sikuwa na njia ya kujitetea kwa muda huo, wala sikuhamaki kwa jambo lile kwani lilikuwa ndio tayari limeshanikuta.
LEO ASUBUHI
.
Nimeondoka nyumbani tukiwa hatuongei chochote zaidi ya kumuachia pesa ya matumizi kisha nikatembea.
Ameahidi kupiga simu kwa wazazi na kuwaeleza sakata zima jinsi lilivyo. Kwani kilio kimechukua sehemu kubwa ya maisha yake ya leo.
Lakini hapo ndipo nikaamini wasemavyo wakubwa kuwa
"MWANA KULITAFUTA - MWANA KULIPATA"
Lakini pamoja na yote hayo naomba msaada tafadhali.
Nini kifanyike upande wangu ili kuendelea na amani yangu ya moyo?
Maswali yatajibiwa
Asanteni.
OhoooooChai ya maziwa. Asante.
daah hili jambo lishawah nikuta nilipata tabu kweli mnamo 2015 septer 25..Nimejisahau bwana. Afu kibaya zaidi hao wanawake sinao hata mmoja wala sijawahi kufanikiwa kuwapata.
Nakiri kosa la uzembe