heee mimi nilidhani anaenda kuangua nazi kumbe ni mzee wa kuotesha makengeza![]()
Huyu ndiye mjumbe wa Kamati ya Ufundi ya Ashanti ambaye jana alifanikisha ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu JKT
SOURCE: Saleh Jembe Blog spot
KISHAMAPENDO si TOTO AFRICA au hao Ashanti
Mi hapa na utata ni KISHAMAPENDO AU KISHAMAPANDA. KISHAMAPANDE
tupe na asili ya hili neno, huwa ninaona pale klabuni kwao kuna klabu ya jogging ya kishamapendo na ina asili yake