Hebu wasiliana na Mtanzania (George Mwakalinga) ambaye ni Member wa JF kwa jina hilo la MTANZANIA.
Ingawa hayupo Kyela kimwili, yupo sana pale kimawasiliano na atakupa watu/mtu unayemtaka.
Mtumie PM na nina imani atakujibu haraka sana.
Kila la kheri.