7. Kuhusu mgomo wa madaktari, amesikitishwa na hatua za serikali kumwagia mafuta ya petroli kwenye mgogoro huo badala ya kutafuta suluhisho la amani!, yeye kama daktari amewaomba madfaktari warudi kwenye meza ya mazungumzo ili wananchi wa Tanzania, wasiendelee kuteseka!.
Alipoanza kuelezwa kusikitishwa kwake na mwenzake na rafiki yake Dr. Stephen Ulimboka, naibu spika akamkatiza, muda umekwisha!