Aaaaah aaah aah... Af anataka shindana na jide wakati ana sickle cell anaemia..
jaman jaman temeni mate chini yaani mmemkashifu mwenzenu kwenye mziki mmeanza kuingilia hadi afya yake? Kwan mwenzenu alipenda? Plz muache hiyo tabia dunia tunapita msisahau Leo kwake kesho kwenu tena uskute hamjazaa bado, mungu na awasamehe
Ndo aache kujifanya anajua sana,afya yenyewe mgogoro af anajifanya mbuzi wakati kuku
Mwana FA ni msomi .. hawezi kubishana na mtu looser kama jide..
Mtoa mada ya kwako ipo wapi..?
Mwana Fa inabidi hatulie tu maana wafu wanambeba halafu wanatupa kule sasa ajiangalie sana aisee, akumbuke alipotoka aache kuburuzwa na wanaume wenzake.
Jide anamiliki mgahawa classic wa NYUMBANI LOUNGE,ambao kaajili wafanyakazi lukuki,anamiliki band ya MACHOZI BAND,ana ma coaster kama matatu kwa ajili ya band yake,ana miliki mjengo wa maana uko mbezi kimara,kama unaangaliaga daily ya jide utakuwa umeiona,na sasa yupo kwenye mchakato wa kufungua radio station yake binafsi,aya huyo bwana wako FA anamiliki nini apa mjini???,kazi kujipendekeza kwa wanaume wenzie tu na ni wasi wasi kashafunguliwa kizibo na ruge
jide anamiliki mgahawa classic wa NYUMBANI LOUNGE,ambao kaajili wafanyakazi lukuki,anamiliki band ya MACHOZI BAND,ana ma coaster kama matatu kwa ajili ya band yake,ana miliki mjengo wa maana uko mbezi kimara,kama unaangaliaga daily ya jide utakuwa umeiona,na sasa yupo kwenye mchakato wa kufungua radio station yake binafsi,
aya huyo bwana wako FA anamiliki nini apa mjini???
kazi kujipendekeza kwa wanaume wenzie tu na ni wasi wasi kashafunguliwa kizibo na ruge