Wote bado wana fuata mi ni kama mdundiko/ hata ujifiche wapi sauti itakufuata ulipo/ busara na maumivu katikati ya kauli zangu/ mimi ni kaka mkubwa jamaa msibishane wadogo zangu/ nipo juu kwa sababu siogopi kuruka/ siogopi kuanguka/ siogopi vidonda wala hakuna kuvunjika/ siku hizi milioni milioni ndio zinaniumiza ubongo/ mwangu ataridhi nini nisipokuwa inter ........../
si fuati upepo , upepo unani fuata mimi/ kusoma huwezi hapa picha uioni/ kuna tofauti kubwa kati wasanii wakubwa, na ma under ground wakubwa / mimi ni bora kati ya wakubwa , ndio maana nina heshima kubwa/ ukivaa sana na ujui muda lazima mpumbavu mkubwa/ mpumbuvu haswa....!! /unaposema mimi mkali, na kuamini we mkweli /na amini unaona Vizuri/ na nina Amini kweli kuwa una akili/kenge wana chafua maji wana kijiji washindwe kuoga/ na kuwajibu itakuwa shida uaminie uone wajinga/ umekubali kuwa nguruwe harafu mna dai mabawa/wa nchi kavu waende Angani uja kubali majaliwa .. laaah..
( hamisi mwinjuma - mwana fa - nazeeka sasa)
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
Kuna kauli hapo nimeweka.......
( mwanangu ataridhi nini nisipokuwa ...../)
Kwa mtazamo wangu nadhani " entrepreneur" ndio kilichotajwa kwa utashi wa kifasihi..
MWANA F.A FT. MH SUGU & PROFESOR JAY
(NAZEEKA SASA)
Kuna tofauti gani kati yangu mimi na wewe/aah leo na kuchana ilikusudi unielewe/ nadhani we unadhani labda mi nimezeeka/ style za new Traini bado naongeza mzuka/ kupishana na wakati nini utakacho kipata / watu bado wapo juu ka mbalamwenzi na nyota / na maisha tunayoishi we utabaki kuyaota/ Aah sio kwa zali la mentali bali akili / hawa amini tuko mbali kwa Rap za kiswahili/ aaah na bado watasubiri ,subira vuta heri/ lakini mi sijali na unigusi hata kwa shari/ ila kama ni mchizi wangu tupo shwari/ kwa kifupi hamniwezi mpaka nife / kwenye Rap mi kada kama ccm na nape/ mliosabambisha vigongo waniogope/ aah na bado nakula kuku / milioni kwangu ni mbuku / kama Bongo sionekani nipo huku/
(Nazeeka sasa - mh sugu)
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
( katika picha ni msanii joseph mbilinyi a.k.a 2 proud na kada wa Ccm mh Nape Moses Nnauye)