LUSAJO L.M.
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 274
- 134
Sio kila aliye soma elimu imemsaidia wengine huenda shule kukua na kupunguza disturbance nyumbani huyu dogo anawezakuwa mojawapo. Hata hivyo mwana FA. Is lolote kwa JDEEE mama uko juu wanakupiga teke ni kama wanakuongezea mwendo upo juu sana hii takataka isikupotezee appetite
FA na JayDEe wamekuwa marafiki katika muziki siku mingi sana, na wote si wanatokea BHits??
Sasa kuna nini hapa???
Au ndio yaleeee walosema vinega na Benzi jekundu?
Na veti kapaki nyumbani kajitolea maisha yake mziki akati time zake zimepita asubiri wajao atakama anajua. Sijakata but mmh. Atulie.
Hv wakuu kila bendi yenye shoo tar 31 isitishe onyesho kwa sababu ya Jide? Na kila msanii asitishe kwa sababu ya Jide?
F.A mashabiki wake waliobaki ni watangazaji wa clouds tu!hana kipya ndo maana anatumia nguvu nyingi kutaka kurudisha jina!yale maneno ya Ruge ya kupokezana kijiti nadhani angemwambia MWANA F.A ampe kijiti mtu mwingine!....vijana wakali wanampa stress ndo maana anapanic!ngoma moja feauturing kijiji sijui man dojo sijui njenje!!!huko mbeleni atatoa kibao featuring TMK WANAUME,TIP TOP,MSONDO JAZZ BAND na KHADIJA KOPA....vijana wapya wana njaa yaan kama yeye kijiti ampe MENO MENGI SHETTA

ahahahhahhahahha huwa unanimaliza mbavu zangu na comments zako!ila hii kiboko!sas hapa najaribu kuimagine ngoma ikifanyiwa featuring na TMK,MSONDO,KHADIJA KOPA vipi akiongeza na BAHATI BUKUKU na DOGO MFAUME!
nimewaza tu!
kusema washabiki jide hawezi kukosa kihiiivyo
ila kuna mwaka nilisema kuwa mimi simkubali mwana fa mkanichana ile mbaya
ay aliyaona mapema akaanza na sasa ni wa kimataifa.
mwana fa ni mswahili tu.
Leo kwenye XXL ya clouds nimemsikia mwana FA akitangaza shoo yake itakayofanyika trh 31 maeneo ya makumbusho kwa kumbukumbu zangu siku hiyo nayo Ladyjdee atafanya shoo yake nyumbani lounge ya kufikisha miaka 13 ya muziki wake
Kwanii mwana FA asinge mpisha kwanza kwa sababu yeye J dee ndo aliwahi kutangaza?
Puppy FA alishatoka B heats kitambo na jide hajawah kua b heats..
pia b heats inapotezwa sasa kwa7b mmliki wake(hermy b),n mmoja wa wak
urugenzi wa times fm na alishirikiana na akina sugu kuandaa lile tamasha la vinega pale sayansi.
Hv wakuu kila bendi yenye shoo tar 31 isitishe onyesho kwa sababu ya Jide? Na kila msanii asitishe kwa sababu ya Jide?
Huyu mwan FA anatumika sana hata kwenye bifu na clouds fm na sugu huyu dogo alitumika pia