halafu najiuliza mbona hao watu wanataka kumfanyia mwenzao kitendo cha kinyama kumchoma kisu. Pia hizi taarifa za mwanaFA kutishiwa life yake mbona wameanza baada ya wimbo wake mpya wa mfalme kutoka. Au ni bifu la zamani alilonalo na hao watu. Sabu jamaa kama katishwa sana, dizain kama season ya fiesta ikija inabidi kama aajiri bodyguard hv