Hivi hile tamasha ladodoma la "kizalendo" kama nilivyosoma toka tweets za Makamba ni la Clouds eeh?
Jamani uzalendo haujengwi kwa matamasha, hiyo nibiashara tu na kuwadanganya wanasiasa wa TZ yetu.. Na. Wao kwa kuwa ni. Watu cheap wamejaa...
Badala ya kujenga serikali responsible kwa Watu wake, kutengenewamazingira ya kututoa. Kwenye umasikini ili watu tuwe na vipato, na ndipo tulipe kodi vizuri, then tutajenga uhusiano wa kuaminiana ili uzalendo ujengwe...sasa hawa wenzetu wanataka kujenga. Uzalendo kwa matamasha...sad!!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums