loose Nut JF-Expert Member Joined Dec 6, 2025 Posts 2,240 Reaction score 5,060 Jul 11, 2026 #1 Jana kazomewa. Huko wizarani ni kama yatima. Bashite na Gerson wana enjoy. Wamemtenga jamaa jikoni kwenye mafuta. Hata safari ya Paris na kombe la dunia jamaa wamembania. Wakati wa mwenye kifua kipana mwana FA alienjoy sana na kupiga hela ndefu. Sasa hivi yuko mkiwa na kama yatima. Source: Umbea mitandaoni adriz de mbusii
Jana kazomewa. Huko wizarani ni kama yatima. Bashite na Gerson wana enjoy. Wamemtenga jamaa jikoni kwenye mafuta. Hata safari ya Paris na kombe la dunia jamaa wamembania. Wakati wa mwenye kifua kipana mwana FA alienjoy sana na kupiga hela ndefu. Sasa hivi yuko mkiwa na kama yatima. Source: Umbea mitandaoni adriz de mbusii
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,927 Reaction score 49,888 Jul 11, 2026 #2 Cha msingi pesa inaingia
Msuguaji Senior Member Joined Jul 6, 2026 Posts 123 Reaction score 252 Jul 11, 2026 #3 Alileta siasa kwenye burudani iliyolipiwa na watu!... hayo alitakiwa ayafanye kwenye Tamasha zao za bure za wanafunzi, sio matamasha ya watu wenye akili
Alileta siasa kwenye burudani iliyolipiwa na watu!... hayo alitakiwa ayafanye kwenye Tamasha zao za bure za wanafunzi, sio matamasha ya watu wenye akili
loose Nut JF-Expert Member Joined Dec 6, 2025 Posts 2,240 Reaction score 5,060 Jul 11, 2026 Thread starter #4 Mr Q said: Cha msingi pesa inaingia Click to expand... Lakini siyo kama zamani