Tetesi: Mwamposa mbioni kuinunua E-FM, TV-E

Ya Abushiri nilinyoosha mikono juu, jamaa wamemmaliza kabisa.

Ila kwa TB Joshua huwa nabaki na kigugumizi maana tuhuma zimekuja baada ya yeye kufariki, angekuwa hai ingeleta maana zaidi.

Huyu wa kwetu nikitaka habari zake hata leo haiishi nakamilisha ila sijaona haja ya kufanya hivyo, wanaoamini waamini na tusioamini tusiamini.
 
Hii bado kwangu ni new update kweli nyuzi mnaziweza ninyi.
 
Kama hii habari imetoka kwenye vyanzo vyako, nipo tayari kuiamini Kwa asilimia 99

Heri ya sikukuu ya Christmas Mjukuu, natumai wewe na Mkwe wetu nyote hamjambo 🙏🙏
 
Nyuma yupo mkuu wa Kaya la jumba la kutunga sheria.

Twambombo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…