Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 524
- 959
Mbona kwenye Msiba ya Magufuli watu walikufa pale kibao. Familia moja jiran hapa walikufa almost wote hadi na watoto pale kwa mkapa! Nae afungwe jela?Alipaswa kuwa jela kwa vifo alivyosabaisha Moshi by then si Kawe kwenye mkesha. Kinachomlinda hii serikali ya kishetani ya chama cha kijani
Yule analindwa na Mungu mkuu, pia yeye ndio anailinda serikali.Alipaswa kuwa jela kwa vifo alivyosabaisha Moshi by then si Kawe kwenye mkesha. Kinachomlinda hii serikali ya kishetani ya chama cha kijani
Nani aliliwa mkuu?Wajinga ndio waliwao....
Wajinga hawawezi kuelewa hili.Mwamposa is gifted
Tunamwomba kwa kupitia JINA LA YESU KRISTO TU, ukiona mchungaji anasema jiambatanishe na madhabahu yangu, jua hapo kwenye madhabahu yake kuna lishetani. hutakiwi kujiambatanisha na jina la mdhabaru au mchuganji yeyote, jiambatanishe na Jina la Yesu. na sio miujiza yote inatoka kwa Mungu,hata shetani anatoa miujiza.Heshima kwenu wanabodi..
Jana wakat nasubir kuupokea mwaka mpya nilikuwa nimetulia tuu nyumban nikiwa nawatch kideo.
Baada ya kuunglia chanel kadha ndio nikakutana na mkesha wa kihistoria wa Boniphace Mwamposa, chuma kilikuwa kinaughuruma kutoa viwanja vya Tanganyika Pakers Kawa. Aisee huyu jamaa n mtu na nusu, mahubir ya nguvu, shuhudi za kwali na maombi yaliyoenda shule za International.
Serikal izungumze neno, huyu jamaa awe hata mwombezi rasmi wa taifa.. ni fundi!
Nikakabidhi namim maombi yangu kumi na mbili kama kawaida.. Sasa nikuanza kuyapambania usiku na mchana hadi yatimie kama nilivyoomba kupitia madhabahu ile kuu..
Heri ya mwaka mpya 2024 kwenu nyote!
Kwahiyo kilichokuwa kinaonyeshwa kwenye TV na kile cha uwanjani ni tofauti? Mkuu ilikuwa LIVE, bila chengaEti ushuhuda wa kweli.....
We unajuaje kama ni kweli na umekaa tu kwenye TV ?
Jamaa naona kaamua haswa kujipigia promo now. Uzi kibao
Achana na ujinga, zungumziq uponyaji.Mimi siyo katika Wajinga ndiyo waliwao.
Mwamposa miujiza yote ni kwa Jina La Yesu Kristo. Jina lipitalo majina yote!Tunamwomba kwa kupitia JINA LA YESU KRISTO TU, ukiona mchungaji anasema jiambatanishe na madhabahu yangu, jua hapo kwenye madhabahu yake kuna lishetani. hutakiwi kujiambatanisha na jina la mdhabaru au mchuganji yeyote, jiambatanishe na Jina la Yesu. na sio miujiza yote inatoka kwa Mungu,hata shetani anatoa miujiza.
Wewe hutaki uponyaji na mafanikio?Mimi siyo katika Wajinga ndiyo waliwao.
Hebu kiri kuwa Yesu kristo ni Bwana na mwokozi wa maisha yako.Mimi siyo katika Wajinga ndiyo waliwao.
Aende jela kwa kosa gani? Aliwavuta kamba hao watu? Au walienda kwa kutaka maisha rahisi ya miujiza?Alipaswa kuwa jela kwa vifo alivyosabaisha Moshi by then si Kawe kwenye mkesha. Kinachomlinda hii serikali ya kishetani ya chama cha kijani
Umeandika kihuni kuusifia uhuni. Fungua macho!Heshima kwenu wanabodi..
Jana wakati nasubiri kuupokea mwaka mpya nilikuwa nimetulia tu nyumbani nikiwa nawatch kideo.
Baada ya kuunglia chanel kadhaa ndio nikakutana na mkesha wa kihistoria wa Boniphace Mwamposa, chuma kilikuwa kinaunguruma kutoa viwanja vya Tanganyika Packers Kawe. Aisee huyu jamaa ni mtu na nusu, mahubiri ya nguvu, shuhudi za kwali na maombi yaliyoenda shule za International.
Serikal izungumze neno, huyu jamaa awe hata mwombezi rasmi wa taifa.. ni fundi!
Nikakabidhi na mimi maombi yangu kumi na mbili kama kawaida.. Sasa nikuanza kuyapambania usiku na mchana hadi yatimie kama nilivyoomba kupitia madhabahu ile kuu.
Heri ya mwaka mpya 2024 kwenu nyote!
Aliposhindwa kujiokowa Yesu alipiga kelele kumuomba Allah amsaidie, huyo ndiyomwokozi wetu na Yesu pia ndiye mwokozi wake aliyemuita wakati wa matatizo.Hebu kiri kuwa Yesu kristo ni Bwana na mwokozi wa maisha yako.
Acha kupotoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Unezaliwa mko gan mkuu? Katavi?Umeandika kihuni kuusifia uhuni. Fungua macho!