kumbe masalia wanahoja za msingi ndo maana wakavuliwa kabla hawajazito hahaha mwanzo mlipinga hilo swala la Dr kukopa leo mnaunga mkono na kutetea? kweli hakuna kitu kibaya kama mateka wa fikra.sasa unajilinganisha na CCM? hili ni la muhimu coz tunataka kufanya mabadiliko tumechoka kumpigia mbuzi gitaa(CCM) Bt tunajiuliza hao tunaotaka kuwapa wanadeserve au afadhali ya CCM.Kweli we kijana mpuuzi ambaye hutusumbui sisi vijana tuliopata muamko kupitia Dr Slaa Binafsi namchukulia Dr kama Shujaa hapa Tz kwa sababu amekua mstari wa mbele kutoa Elimu ya uraia kwa watanzania na Wengi wetu hata tulioishia darasa la7 sasa hivi tunajitambua kama wewe kweli ni mwanaharakati wa kweli pasipo kutumwa au kutumiwa katiba ya chadema inaruhusu mabishano na kuambiana ukweli ndani ya vikao husika sasa wewe siku zote ulikua wapi kusema haya mpaka umepigwa chini ndo uanze kuleta habari za kimbeya vijana kama nyinyi ndo mnazolotesha harakati. Haya Dr ni msema kweli siku zote hajakana amekubali alikopa na amerudisha sisi Watanzania tuliofunguka akili tunazidi kumwamuni coz kasema kweli alikopa na alirudisha. Ningekuona mzalendo wa kweli kama ungeshupalia maswala muhimu ya kitaifa Hasa Ges, Madini, Twiga na Meno ya tembo yanayokamatwa kila siku, Richmond, Epa na Mabilion ya uswis Kukua kwa matabaka ya walionacho na wasiokua nacho. Acha kutumika kama Condom au karai la kumwagia zege
Uliona wapi mtu anakopa fedha kwa uwazi kisha anaenda kuzificha?kwanza huko UswisS 20 mil(Usd 12,120) hata a/c hazitoshi kufungulia.tutajuaje kama Katibu Mkuu wa Chadema kazihifadhi hizo 140/20mil Uswissi vile vile!
Maana ndo fasheni ya mafisadi ati!
Hawa vijana walikuwa wameandaliwa sana na CCM kumwangamiza Dr Slaa na Chadema. Angalia majibu yake kweye FB yake. Ila kwa kweli hakuna madhara yeyote chadema itapata kutokana na wasaliti hawa zaidi tu itazidi kujiimarisha. RIP Mwampamba, Shonza et al
MAJIBU YA DR.SLAA DHIDI YA UBADHILIFU WA MILLIONI 140
"Hoja ya kujikopesha kwa sura ya ufisadi ni "mfu" nimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwingine. Aidha siyo 140 Million. Zote 20 m zililipwa awamu ya mwisho June 2012. Hivyo hakuna deni la chama tena.
2. Josephine hajawahi kulipwa hata senti mmoja na chama kwa ziara za Mikoani, wala kwa shughuli yeyote ile isipokuwa wakati wa kesi Arusha alipokuwa na mtoto wa miezi 3 na tulihitaji yaya"
... SWALI
Wewe Mzee hoja siyo kwamba umekopa na kurudisha, hoja hapa ni je kwa mujibu wa Katiba, Kanuni, Miongozo na Taratibu za Chama cha Chadema kuna utaratibu wa mwanachama au Kiongozi kukopo na kisha kurejesha? kama upo ni acha wanachama wa kawa
Hawa vijana walikuwa wameandaliwa sana na CCM kumwangamiza Dr Slaa na CHADEMA. Angalia majibu yake kweye FB yake. Ila kwa kweli hakuna madhara yeyote CHADEMA itapata kutokana na wasaliti hawa zaidi tu itazidi kujiimarisha. RIP Mwampamba, Shonza et al
MAJIBU YA DR.SLAA DHIDI YA UBADHILIFU WA MILLIONI 140
"Hoja ya kujikopesha kwa sura ya ufisadi ni "mfu" nimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwingine. Aidha siyo 140 Million. Zote 20 m zililipwa awamu ya mwisho June 2012. Hivyo hakuna deni la chama tena.
2. Josephine hajawahi kulipwa hata senti mmoja na chama kwa ziara za Mikoani, wala kwa shughuli yeyote ile isipokuwa wakati wa kesi Arusha alipokuwa na mtoto wa miezi 3 na tulihitaji yaya"
... SWALI
Wewe Mzee hoja siyo kwamba umekopa na kurudisha, hoja hapa ni je kwa mujibu wa Katiba, Kanuni, Miongozo na Taratibu za Chama cha CHADEMA kuna utaratibu wa mwanachama au Kiongozi kukopo na kisha kurejesha? kama upo ni acha wanachama wa kawaida je ni Viongozi wangap
Huu ni ukosefu wa shukrani,hekima,adabu na staha.Kijana kama Mwampamba anawezaje kumwita Dr.Slaa 'mzinifu'? Semeni hoja za kujenga jamani...si majungu na matusi tu
Ukishindwa kujibu hoja matusi hayakusaidii sana kuelezea maoni yako.Uliona wapi mtu anakopa fedha kwa uwazi kisha anaenda kuzificha?kwanza huko UswisS 20 mil(Usd 12,120) hata a/c hazitoshi kufungulia.
Tatizo anayewatuma kung'ang'ania hoja hii ni yule MwanaHaramu (bastard) na keshafanya akili zenu nazo haram