Mwambusi kaachia ngazi MCC FC

Mwambusi kaachia ngazi MCC FC

Migogoro sio mwenyewe mizur hatuwez kufika kokote soka la bongo

wewe unaleta tena mambo ya dar (bongo) mbeya na bongo (dar) yote ni mikoa ya tanzania mbeya sio bongo, bongo ni temeke, ilala na kinondoni
 
Wewe unaangalia TBC wakati wenyewe mbeya city wamepost kwenye page yao mwambusi yupo nani mkweli kati ya wewe Tbc na mbeya city yenyewe bado kuna walakini kwenye thread yk

Uzi wangu ni wa tarehe 16/11/2014 saa 19:45 hrs (angalia hapo juu) lakini kumbe kulikuwa na post nyingine ya tarehe 16/11/2014 saa 16:35, fuata link hii:

https://www.jamiiforums.com/sports/755402-udini-na-siasa-vyaitafuna-mbeya-city-3.html#post11149355

Hoja yangu ni ya kweli kwani ina corroborate na posts za wakuu wengine hapa JF. Nakushauri uwe unafuatilia kwa karibu sana taarifa za michezo vinginevyo kuna mambo utayasoma hapa na kuanza kuyakanusha bila sababu za msingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom