"TUNAIHUBIRI DEMOKRASIA YA KWELI" .... Kiongozi una hakika na hilo la kuhusu "demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA? .... Ukinijibu nitakupa challengeMwambieni Lau Masha sisi Chadema hatukuwahi kuunga mkono wala kuhubiri utekaji watu( Ben-Rabiu Wa Saanane ),uuwaji(coco beach,mto ruvu kule bagamoyo)/upigaji watu risasi mchana kweupe na watendaji wa haya kutopatikana hadi leo na hutujui wapi na nini kimefanyika kuhusu hawa ndugu zetu na wala hatukuwahi kusema kuwa tutaenenda kinyume na katiba ya Taifa hili
Nendeni mkamwambie Lau Masha kuwa Chadema hatukuwahi hata siku moja kukaa majukwaani na kuwaambia waTanzania kuwa tutakuwa na double standard katika taifa hili na kuona baadhi ya watanzania wenzetu wanafaa kufukuza kazi tena kwa kudhalilishwa na wengine hata wasio na vyeti na majina sio yao tukasema tutawalinda
Tena mumkumbushe kabla hajafika Chadema na baada ya kuja na sasa ameondoka kamwe hatukuwahi kusema kuwa tutatumia fedha za walipa kodi kufanya matumizi pasipo kuidhinishwa na bunge ambalo lipo kuwawakilisha wananchi,
Kamwe hatukuwahi kusema popote kuwa tutakopa kwa wahisani pasipo bunge na watanzania kufahamu na kujua hizo fedha zimekopwa kwa matumizi gani katika Taifa letu
Mwambieni sisi tunaihubiri demokrasia ya kweli tena yenye tija na manufaa kwa kila mtanzania akiwamo yeye mwenyewe.
Namkumbusha Lau hatukuwahi kusema popote kuwa tutazuia uhuru wa habari na kujieleza(Freedom of speech) popote katika Chadema labda kama ni maono yake ya mika hamsini ijayo japo sijaona viongozi wa namna hii katika Chadema hata kwa miaka mia ijayo
Hatukuwahi kusema kuwa kama kiongozi wetu akiwa kiongozi atakataa kukosolewa ili afungie na kufuta baadhi ya magazeti yanayomkosoa
Tena akumbushwe kuwa katika uwepo wake kabla na baada hakuna sehemu yoyote tuliwahi kusema tutazuia mikutano ya vyama vya siasa kama ilivyo sasa mwambieni na mumkumbushe yote hata yale mengi aliyoaaandika katika barua yake
Yeye aondoke tu kama alivyokuja hatukumuita na asidhani kama tumemfukuza ni dhamira yake na asitudanganye kwa masuala ya kitoto namna hiyo labda wajinga tu ndio wanaoweza kumuelewa
Na maovu mengine mengi kama kuzuia bunge live,upatikanaji wa katiba mpya,wafanya kazi kutoboreshewa maslahi yao na kupandishwa madaraja na kuwafanya matajiri kuwa masikini pia hatuwahi kuwaambia watanzania haya
Tanzania Kwanza
Kwani wewe una uhakika na democrasia ya kweli katika ccm? Jibu mwenyewe kuhusu ccm alafu toa challenge!"TUNAIHUBIRI DEMOKRASIA YA KWELI" .... Kiongozi una hakika na hilo la kuhusu "demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA? .... Ukinijibu nitakupa challenge
Waswahili wanasema "nyani haoni kundule" ndiyo wewe ambaye huoni kwamba utawala wa ccm ulishauwa democrasia!"TUNAIHUBIRI DEMOKRASIA YA KWELI" .... Kiongozi una hakika na hilo la kuhusu "demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA? .... Ukinijibu nitakupa challenge
Yule jamaa anapenda ukubwa na kunyenyekewa kama shetani. Chadema si mahala pa mashetani!Alifuata cheo chadema alipo ona vyote vime enea watu,akaona hana maana upande huu,bora atoke.nenda salama mwanakwetu ! Kajaribu huko mahameni ulikokua.
Nimeipokea challenge ya kutukanwaWaswahili wanasema "nyani haoni kundule" ndiyo wewe ambaye huoni kwamba utawala wa ccm ulishauwa democrasia!
Mleta maada alishatoa maelezo yaku eleweka jinsi democrasia ilivyo marehemu, ilishazikwa na ccm! Rudia kusoma ukielewa rudi hapa.Nimeipokea challenge ya kutukanwa"nyani haoni kundule" wala sitakujibu kwa tusi kama ulivyofanya wewe .....
Swali: Kama utawala wa ccm ulishaua demokrasia .... je hiyo DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA CDM kama alivyotoa mleta mada ILIZALIWA ama ILIFUFULIWA lini? .... na ni nani aloifufua tena toka ULIMWENGU WA WAFU?
I'm not good at arguments that lead to NOWHERE .... ningedhani tungejikita kujadiri HOJA FIKILISHI zilizomo ktk thread ya mtoa mada instead of diverging ..... nimehoji juu ya DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA CDM maana imeelezwa na mtoa madaKwani wewe una uhakika na democrasia ya kweli katika ccm? Jibu mwenyewe kuhusu ccm alafu toa challenge!
I'm not good at arguments that lead to NOWHERE .... ningedhani tungejikita kujadiri HOJA FIKILISHI zilizomo ktk thread ya mtoa mada instead of diverging ..... nimehoji juu ya DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA CDM maana imeelezwa na mtoa madaKwani wewe una uhakika na democrasia ya kweli katika ccm? Jibu mwenyewe kuhusu ccm alafu toa challenge!
Hivi pana mh. apendae UKUBWA na KUNYENYEKEWA kumpita mh. Eddo?Yule jamaa anapenda ukubwa na kunyenyekewa kama shetani. Chadema si mahala pa mashetani!
You want to talk about democracy that doesn't exist. How can Chadema practice something that is technically forbidden? The right question to ask is whether ccm allows it!?I'm not good at arguments that lead to NOWHERE .... ningedhani tungejikita kujadiri HOJA FIKILISHI zilizomo ktk thread ya mtoa mada instead of diverging ..... nimehoji juu ya DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA CDM maana imeelezwa na mtoa mada
Rejea post ya mtoa mada PARAGRAPH YA 5 .... mistari miwili ya kwanza .... soma kwa makini ukiwa umetulia .... UBISHI si mzuri ..... asante pia kwa kuniambia SIJIELEWIMleta maada alishatoa maelezo yaku eleweka jinsi democrasia ilivyo marehemu, ilishazikwa na ccm! Rudia kusoma ukielewa rudi hapa.
By the way, nyani kundule siyo tusi! Maana yake hujitambui.
After thoroughly reading your fellow's original post at the 5th paragraph the 1st and 2nd lines .... then be HONEST to ask the same question to that fellow of yours .... the poster of the ORIGINAL POSTYou want to talk about democracy that doesn't exist. How can Chadema practice something that is technically forbidden? The right question to ask is whether ccm allows it!?
Yes mtoa maada hajakosea alivyo andika kuwa "Mwambieni sisi tunaihubiri demokrasia ya kweli tena yenye tija na manufaa kwa kila mtanzania akiwamo yeye mwenyewe."After thoroughly reading your fellow's original post at the 5th paragraph the 1st and 2nd lines .... then be HONEST to ask the same question to that fellow of yours .... the poster of the ORIGINAL POST
Nimekuuliza swali kwamba how can CDM practice democracy that is technically forbidden? Sina maana kwamba it's not being practiced by CDM!After thoroughly reading your fellow's original post at the 5th paragraph the 1st and 2nd lines .... then be HONEST to ask the same question to that fellow of yours .... the poster of the ORIGINAL POST
Naona umeshindwa kunielewa ama wafanya makusudi .... let me GIVE UP and you be THE WINNERNimekuuliza swali kwamba how can CDM practice democracy that is technically forbidden? Sina maana kwamba it's not being practiced by CDM!