Mwambieni hizo PR Stunt hazitamsaidia mwaka huu ni ama ICC au aliowauliza Who are You? Lazima wamshughulikie vilivyo

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Mwambieni achukue Majenerali wake wengi wote wapumbavu na machawa apige nao picha. Siku ya mwisho hayatamsaidia. Damu za ndugu zetu alizomwaga lazima zipate haki yake.

Mwambieni hata ahonge Taasisi zote ziwe za nje ama za ndani zimpe tuzo hata ya Malaika wa mbinguni ila mwaka huu vyovyote vile damu alizomwaga za Watanganyika lazima zipate haki yake na atashughulikiwa tu.

Mwisho mwambieni hata ajaribu kwa kiasi gani kujitengenezea PR stunt na kujaribu kuwachonganishwa Wakristo na Wakatoliki mwaka huu 2026 hata akatambike wapi lazima ashughulikiwe tu kama sio na ICC basi na wakubwa wa dunia ikiwemo Marekani.
 
General NGunda kamhakikishia kuwa jeshi liko imara hakuna Cha Delta force wa marekani au nani wanaweza kuuzima moto wa jeshi la mgunda
Watu wakipigwa Deposit mbona Nusu saa tu tayari ashanyakuliwa
 
Mwambieni achukue Majenerali wake wengi wote wapumbavu na machawa apige nao picha. Siku ya mwisho hayatamsaidia. Damu za ndugu zetu alizomwaga lazima zipate haki yake.

Mwambieni hata ahonge Taasisi zote ziwe za nje ama za ndani zimpe tuzo hata ya Malaika wa mbinguni ila mwaka huu vyovyote vile damu alizomwaga za Watanganyika lazima zipate haki yake na atashughulikiwa tu.

Mwisho mwambieni hata ajaribu kwa kiasi gani kujitengenezea PR stunt na kujaribu kuwachonganishwa Wakristo na Wakatoliki mwaka huu 2026 hata akatambike wapi lazima ashughulikiwe tu kama sio na ICC basi na wakubwa wa dunia ikiwemo Marekani.
Moaka kufika 2030 naamini ndugu Lord Denning utakuwa kichaa. Maana mfululizo wa nyuzi unazoandika dhidi ya Samia siyo salama kwa afya yako.

Jaribu tu kuzoea maana kufika Oktoba 2030 bado miezi 69
 
Akumbushwe pia kuwa,

Kuna kulala nzima, usiamke.

Ashauriwe kukataa kulala usingizi.
 
Mwambieni achukue Majenerali wake wengi wote wapumbavu na machawa apige nao picha. Siku ya mwisho hayatamsaidia. Damu za ndugu zetu alizomwaga lazima zipate haki yake.

Mwambieni hata ahonge Taasisi zote ziwe za nje ama za ndani zimpe tuzo hata ya Malaika wa mbinguni ila mwaka huu vyovyote vile damu alizomwaga za Watanganyika lazima zipate haki yake na atashughulikiwa tu.

Mwisho mwambieni hata ajaribu kwa kiasi gani kujitengenezea PR stunt na kujaribu kuwachonganishwa Wakristo na Wakatoliki mwaka huu 2026 hata akatambike wapi lazima ashughulikiwe tu kama sio na ICC basi na wakubwa wa dunia ikiwemo Marekani.
Karibu utakufa kwa stress mkuu! Kila unachotamani inashindikana, mlipanga kupindua serikali mkapigwa za kichwa bahati mbaya wewe ulikimbia ukawaacha nyumbu promax wakipata stahili zao.

Ukahangaika kuwashawishi tena Gen Z waandamane tarehe 9/12/2025, 25/12/2025 na 01/01/2026 wakakataa. Ukaomba mabeberu ya USA yaje kuwalinda wakataa sasa umebaki kuhaha tu kama kichaa tu. Pole sana!!
 
Mtakufa mtamuacha mama wa watu.
Screenshot_20251122-090658~2.png
 
Back
Top Bottom