Mwambie huyu mume wako aache kunisumbua.....

sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,194
721
Shikamoo dada......samahani, eti huyu ni mume wako? Dada akajibu, Ndio kwani vipi.? huyu kaka ananisumbua sana ananitaka kimapenzi.....ananifataga mpaka hostel kunitongoza, nilishamkanya lakini hataki kunielewa, mimi ni mwanafunzi na yeye ni mtu mzima tena ameoa............ Ghafla jamaa anakua mbogo.....kasichana kanakomelea msumari kana mtajia mpaka aina ya gari......Wewe kaka unanifataga na Verossa nyeusi namba T.....CE.. ina tinted....na juzi ulinifata ukiwa umevaa t-shirt nyekundu..........kwa kweli sikutaka kujua zaidi ,nilijipigia simu nikasepa eneo la tukio.......Tukipata asilimia hata 30% ya vibint kama hivyi kwa kweli ingekua poa sana.
 
Hana lolote huyo binti angemtaka asingeyasema hayo. Ni uzandiki mtupu. Sijawahi kuona au kusikia mwanamke anamsema yule anayempenda isipokuwa pale asisopopenda ndio inakuwa hivyo. Isitoshe baada ya muda kama mwaka mmoja na zaidi usije kuta wako kwenye mahusiano. "Most women when they say NO they mean to the opposite"
 
Back
Top Bottom