Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Mi ndo napenda mambo kama hayo sasa!!!Kwani hujaskia Leo wamepiga base mbili huko Russia na kuharibu kabisa ndege mbili za Russia zenye uwezo wa kubeba nyuklia.
Mi ndo napenda mambo kama hayo sasa!!!Kwani hujaskia Leo wamepiga base mbili huko Russia na kuharibu kabisa ndege mbili za Russia zenye uwezo wa kubeba nyuklia.
Kama wanavyhofanya Urusi kwa vituo vya umeme na maji. Tatizo Ulaya wana mdomo mkubwa kulaumu mashambulizi ya Urujsi kumbe wanamtuma mtu wao afanye uharibifu kwa miundombinu ya kiraia ya Urusi.Tunasubiri wamalize kutengeneza halafu tunalipua tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kidume cha mashoga wote wa ulayaDaaah jamaa amwamini mtu mpk kuendesha gari.(muoga mnooo)
Mm nilijua kuka tu.mbali na mawaziri wake.
Kikao kikiendelea. View attachment 2437122
Inakuaje anatumia gari ya mabeberu?Hiyo habari umeitoa CHATO FM au?
... Mercedes tamu mzee asikuambie mtu!Raisi wa Supapawa ana endesha gari la mabeberu wa Nato Benz
awe mzalendo kama kiduku yeye huendesha mikokoteni
Zinasubiri likamilike,kisha wanalipiga tena,wanaanza upya kutengenezaHivi himars zilikuwa likizo nini?? Watu WA intelejinsia mbona mnafeli sana
Watapiga tena ,kwani hicho kipigo kimeimaliza Ukraine au ndiyo kwanza kule frontline wanasonga mbele.Hawatorudia tena huo ujinga maana kipigo walichopata baada kushambulia daraja hawatosahau
Hakuna shida,watakaa gizani na maisha yatasonga,mbona sisi hapa tunakaa gizani na wala hatuna hata kisingizio cha VitaMuda huo mtakua mmemaliza kurekebisha vituo vya umeme vilivyo chakazwa na drones za urusi?
Kama mabeberu wanavyotumia rocket za RUSSIAInakuaje anatumia gari ya mabeberu?
Kwa hiyo wakati ule Putin akitaka askari wa Ukraine wamkamate Rais wao hii Sheria ilikuwa bado haijatungwa?kuna sheria kali tuliwaambia ilitungwa kuwalinda marais na wanadiplomasia wengine ktk vita.
ndo mana Zele alipohutubia Kherson hakusukumiwa Hypersonics.
Muelewe sasa:
Protection of Diplomats Convention
Convention on the Prevention and Punishment of Crimes Against Internationally Protected Persons, Including Diplomatic Agents Type anti-terrorism, international criminal law, privileges and immunities; diplomatic relations Drafted 14 December 1973 Signed 28 December 1973[a] Location New York, United States Effective 20 February 1977 Condition 22 ratifications Signatories 25 Parties 180 Depositary United Nations Secretary-General Languages Chinese, English, French, Russian, and Spanish
Kwani ziliundwa,mawaka gani - mona members wa JM ndio wabalishobokrea sual hile mdedia nyingine za Ulaya na Merikani wala hawatiilii maanani, ealoshajua missile ya ya Kurusiya zamamini I rimefayiwa tinkeringing kigogo kuongeza range na wala USA haihusiki kabisa,, sasa kitakacho fuata Ukraiine itakuja kujuta kuzaliwa kuzaliwa na jakuna atakaye ionea huruma kutukana na ukeuri na jeuri za,Zelemsky ageweza kutungiza kwenye WW3 ms uongo wake wa Missileiliyo shabulia Poland - hivi sasa Waruso wanasema Drones ziliundwa miaka ya nyuma zinsatiwacna Ukraine baada ya kufanyiwa marekebisho ya kwanda masafa marefu lengo likiwa kuwagomabisha NATO/US na Russia baada ya US kuikatalia Ukraine hisitumie long range missiles - bado Ukraine inatafita kila njiia kugombanosha Urusi na Na Merikani, Zelensky ni mtu hatari sana and very unprectible, au aidolewe madarakani.Kwani hujaskia Leo wamepiga base mbili huko Russia na kuharibu kabisa ndege mbili za Russia zenye uwezo wa kubeba nyuklia.
Ukraine inajutaje wakati hizo base ni legitimate targets,ndege zinazorusha missiles Ukraine zinaruka kutokea hapo hivyo ni sahihi kabisa kwa Ukraine kushambulia.Kwani ziliundwa,mawaka gani - mona members wa JM ndio wabalishobokrea sual hile mdedia nyingine za Ulaya na Merikani wala hawatiilii maanani, ealoshajua missile ya ya Kurusiya zamamini I rimefayiwa tinkeringing kigogo kuongeza range na wala USA haihusiki kabisa,, sasa kitakacho fuata Ukraiine itakuja kujuta kuzaliwa kuzaliwa na jakuna atakaye ionea huruma kutukana na ukeuri na jeuri za,Zelemsky ageweza kutungiza kwenye WW3 ms uongo wake wa Missileiliyo shabulia Poland - hivi sasa Waruso wanasema Drones ziliundwa miaka ya nyuma zinsatiwacna Ukraine baada ya kufanyiwa marekebisho ya kwanda masafa marefu lengo likiwa kuwagomabisha NATO/US na Russia baada ya US kuikatalia Ukraine hisitumie long range missiles - bado Ukraine inatafita kila njiia kugombanosha Urusi na Na Merikani, Zelensky ni mtu hatari sana and very unprectible, au aidolewe madarakani.

mzee kipigo kime kuchanganya mpaka ume amua kuandika kiRundiKwani ziliundwa,mawaka gani - mona members wa JM ndio wabalishobokrea sual hile mdedia nyingine za Ulaya na Merikani wala hawatiilii maanani, ealoshajua missile ya ya Kurusiya zamamini I rimefayiwa tinkeringing kigogo kuongeza range na wala USA haihusiki kabisa,, sasa kitakacho fuata Ukraiine itakuja kujuta kuzaliwa kuzaliwa na jakuna atakaye ionea huruma kutukana na ukeuri na jeuri za,Zelemsky ageweza kutungiza kwenye WW3 ms uongo wake wa Missileiliyo shabulia Poland - hivi sasa Waruso wanasema Drones ziliundwa miaka ya nyuma zinsatiwacna Ukraine baada ya kufanyiwa marekebisho ya kwanda masafa marefu lengo likiwa kuwagomabisha NATO/US na Russia baada ya US kuikatalia Ukraine hisitumie long range missiles - bado Ukraine inatafita kila njiia kugombanosha Urusi na Na Merikani, Zelensky ni mtu hatari sana and very unprectible, au aidolewe madarakani.
Mtapigwa tiktaka mpako kwa wake zenu uvunguni Jaribuni tena muoneTunasubiri wamalize kutengeneza halafu tunalipua tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani amekwambia hiyo ni benzi!!??Raisi wa Supapawa ana endesha gari la mabeberu wa Nato Benz
awe mzalendo kama kiduku yeye huendesha mikokoteni
Habari za kijiweni mwananyamala Kidile.Chakula anajipikia mwenyewe, choo chake anasafisha mwenyewe. Sasa ivi anaipata pàta
Kwani kapewa bure we mpumbavu nini?Raisi wa Supapawa ana endesha gari la mabeberu wa Nato Benz
awe mzalendo kama kiduku yeye