DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Unahalalisha unafki wenu.Msimu uliopita baada ya Chadrack Boka kuwa majeruhi, Nickson Kibabage ndiyo alikuwa mbadala wake! jambo ambalo liliifanya Yanga kuwa dhaifu sana kwenye huo upande.
Upande wa kulia nao Yao Kwasi alipoumia, tulishuhudia Dennis Nkane naye akichezeshwa kwenye hiyo namba! Na yeye alikuwa ni uchochoro tu!
Hivyo kwa usajili wa beki mwenye nidhamu na uzoefu kama Mohamed Hussein (Zimbwe Jr), utakuwa ni msaada mkubwa sana kwa timu ya Wananchi.
Rai yangu kwa viongozi; wahakimishe Israel Mwenda naye anabaki ili kumpa changamoto Yao Kwasi aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu.
Natambua kuna watu watauponda huu usajili! Ila kwa sisi ambao tumewahi kucheza na pia kuwa makocha, tunatambua fika siri ya mafanikio ya Yanga kwa miaka kadhaa sasa imejificha kwenye eneo hili la kusajili wachezaji wa kujazia mapengo yaliyo jitokeza wakati wa msimu.
Hongereni sana uongozi wa timu ya wananchi Young Africans πππͺ
Nauona tena ubingwa msimu huu. Siyo kwa hiki kikosi mlicho kisuka.
Poleni kwa maumivu ya kumpoteza nahodha wenu kwa wababe wenu Yanga. Upande wa kulia Izrael Mwenda, upande wa kushoto ni Zimbwe Jr! Mtaelewa tu.Unahalalisha unafki wenu.
Ulikubaliana na nani kama Zimbwe Jr ni mzee! Yanga inafanya usajili kwa ajili ya kukidhi malengo yake ya msimu mzima, na siyo kwa ajili ya kumfurahisha mtu.Mbona risala ndeeefuu kujielezea?
Tulikubaliana ni mzee
Hakuna mchezaji wa simba anaeanza kikosi cha kwanza...
Ili mprove hyo kauli yenu mkamuweka Chama benchi
Mkude benchi
Na huyu mkomavu wa miaka 11 mtamuweka benchi mummalize...
Wenye akili ni 2 huko..
Usajili wa kukaa benchi mnamkomoa nani sasa....
Msyuuu kuleni makapi hayo...matapishiUlikubaliana na nani kama Zimbwe Jr ni mzee! Yanga inafanya usajili kwa ajili ya kukidhi malengo yake ya msimu mzima, na siyo kwa ajili ya kumfurahisha mtu.
We bwege hujui mpk leo Yanga ni mali ya nani, wengine mmezaliwa Tanzania kwl?Hiyo jezi ni kama mashati ya CCM.
Huwa najiuliza Yanga imechukua kombe misimu 4 ila ukija kwenye timu bora za Afrika Simba ipo juu kuliko Yanga.
Yanga ni timu mbovu kama huamini Google timu bora Afrika ndiyo utajua.YANGA tunajua kukera na hatuna jambo dogo huu msimu mpya muwe tayali Mashabiki kununua jezi π€£π€£
JEZI IMEANDIKWA NAWADAI SIMBA Bilioni 87.
Mtanunua au?
Zimbwe anastahili heshima yake aisee! Wala siyo kuokoteza huko! Dogo bado anapiga mpira yule na lazima kawaweke kwenye derby!Ila timu yangu kwa kuokoteza oil za mtani hatujambo
Mimi ni nani niharibu furaha yako? Nimekuita tu mnafki maana unajua fika ndivyo mlivyo pale mnapoiongelea Simba na wachezaji wake ila sikuzuii kufurahi. Furahi mwanangu.Poleni kwa maumivu ya kumpoteza nahodha wenu kwa wababe wenu Yanga. Upande wa kulia Izrael Mwenda, upande wa kushoto ni Zimbwe Jr! Mtaelewa tu.
Mkuu kwani hauna habari kwamba Israel Mwenda amesign rasmi Yanga?Msimu uliopita baada ya Chadrack Boka kuwa majeruhi, Nickson Kibabage ndiyo alikuwa mbadala wake! jambo ambalo liliifanya Yanga kuwa dhaifu sana kwenye huo upande.
Upande wa kulia nao Yao Kwasi alipoumia, tulishuhudia Dennis Nkane naye akichezeshwa kwenye hiyo namba! Na yeye alikuwa ni uchochoro tu!
Hivyo kwa usajili wa beki mwenye nidhamu na uzoefu kama Mohamed Hussein (Zimbwe Jr), utakuwa ni msaada mkubwa sana kwa timu ya Wananchi.
Rai yangu kwa viongozi; wahakimishe Israel Mwenda naye anabaki ili kumpa changamoto Yao Kwasi aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu.
Natambua kuna watu watauponda huu usajili! Ila kwa sisi ambao tumewahi kucheza na pia kuwa makocha, tunatambua fika siri ya mafanikio ya Yanga kwa miaka kadhaa sasa imejificha kwenye eneo hili la kusajili wachezaji wa kujazia mapengo yaliyo jitokeza wakati wa msimu.
Hongereni sana uongozi wa timu ya wananchi Young Africans πππͺ
Nauona tena ubingwa msimu huu. Siyo kwa hiki kikosi mlicho kisuka.
Ninafahamu. Ila bado taarifa ni za ndani.Mkuu kwani hauna habari kwamba Israel Mwenda amesign rasmi Yanga?
Usajili wa ovyo sana huu...