Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,664
Mwamba alikukuwa mgumu kutoa poshoHuyu jamaa hakuna mali mpya aliyoongeza juu ya alizopewa na baba yake. Kuanzia Bilicanas hadi Aishi hotel. Zote alizirithi kutoka kwa baba yake.
Cha kuongezea kuna kiwanja Moshi mjini baba yake alipewa na Nyerere mpaka kesho mwamba hajakiendeleza.
Halafu Mwamba ndugu zake wote walikimbilia nje. Mali karibia zote aliachiwa yeye.
Alikuwa hana degree,degree kapata juzi baada ya Lissu kumshauri na kumbembeleza sana. Aliona aibu kusoma bongo akajisomesha London. Yaani kwa yaliyotokea chadema elimu kitu muhimu sana. Lissu yupo anaheshimika leo kwa sababu anaitumia elimu yake vizuri.Mwamba alikukuwa mgumu kutoa posho
Huyu jamaa kweli tapeliUnaambiwa ile 2015 Mwamba akamuweka pembeni Dkt. Slaa kwa kumkaribisha Lowassa lakini kabla ya hapo masharti ilikuwa Lowassa alipe dollar za kimarekani million moja kwa Mwamba.
Lowassa akampa cash, mwamba akatia mfukoni.
Mwamba Akaenda kumdanganya/ kumrubuni Mengi, Mengi naye akampa 1m USD.
Mwamba akakunja 2M USD pekee yake. Yaani hata hakuwapoza kina Lema, Boni Yai, Mnyika.
Mengi alipokuja kugundua baadaye mwamba alishapewa hela na Lowassa na kuingizwa chaka alichoka na kumaindi kichizi.
Lusungo sasa hivi anakuja umemgusa basha ake.Unaambiwa ile 2015 Mwamba akamuweka pembeni Dkt. Slaa kwa kumkaribisha Lowassa lakini kabla ya hapo masharti ilikuwa Lowassa alipe dollar za kimarekani million moja kwa Mwamba.