Yupo idara gani? Kwa kilimo Ni kukavu tu huwa hakueleweki eleweki. Umeme sahzi upo,maji yapo na kuna kituo cha afya cha kuzugiazugia tu. Akaribie tu huko juzi juzi tu hapa jumamosi ilopita kuna Dada alionekana ilihali alifariki na kuzikwa mwezi Wa saba mwaka huu na hadi sasa yupo japo Akili zake zimechizi, waganga wanaendelea kuhangaika wanadai wana uwezo wa kurudisha Akili zake. Ni maisha tu lakini asiogope