Mwamashimba sec school

Mwamashimba sec school

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
460
Reaction score
360
Jamani mwenye kufahamu/ kuifahamu shule husika hapo juu anisaidie Kupata mawasiliano. Shule hio ipo wilaya ya igunga nawasilisha.
 
Mimi kwa kweli naifahamu ilipo lakini ninapoishi mimi ni mbali sana maana ni mkoa mwingine, na nilipo mimi.
 
M nafahamu iko mpakan mwa mwanza na shnyanga cyo igunga shule iko free sna hawafatilii mtu
 
Ilipo ndo nilipo.ipo kwimba.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ingia website ya Tamisemi udownload joinstruction naamini hata namba ya headmistress utaipata
 
Back
Top Bottom